Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Zoezi kubwa ni hilo la kwenda na kurudi kazini ni kaumbali kidogo
Sawa mkuu ila kiufupi hiyo route haihusiani na zoezi watu wengi wanashindwa kutofautisha kutembea na kufanya mazoezi.mazoezi maana yake hakili inakuwa concentrated kwenye mazoezi hata kama umechuchumaa.eg nilikuwa natembea kutoka point A to point B more than 5kms lakini si kwa lengo la mazoezi na niliongezeka mwili pia.lakini unaweza ukakimbia kwa 1km per day na ukapungua ikiwa hakili yako itakuwa imebase bilo jambo as mazoezi.UMENIELEWA nikuambie cha kufanya sasa.
 
Bila picha ni uzushi
 
Nimekuelewa kiongozi nitamshauri hilo
 
Hufanyi nae mapenzi mara kwa mara ndo mana

Unatakiwa umchape kisawasawa sawa sio kimoja tu chali hapo lazima afumuke
 
Hii kitu huwa naiogopa sana, mbaya zaidi wale wembamba wakinenepeana wanakua hovyo sana, wanawakua hawana umbo zuri, wananenela kila kiungo.

Pole mkuu, mwambie aanze diet na mazoezi, utukunyema hauvutii.
 
Hii kitu huwa naiogopa sana, mbaya zaidi wale wembamba wakinenepeana wanakua hovyo sana, wanawakua hawana umbo zuri, wananenela kila kiungo.

Pole mkuu, mwambie aanze diet na mazoezi, utukunyema hauvutii.
Mwili halisi wa mtu haupungui kwa diets wala mazoezi
 
Msapoti kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…