Kwanza siri ya kwanza ya kuchangia kupunguza unene au vyanzo vya unene ni mlo sahihi big up Ndondombi Mulin umepita mulemule.Nimekuelewa kiongozi nitamshauri hilo
Mpandishe cheo awe mke mkubwa.
Wewe uliishia darasa la ngapi ili nijue nakuelekezaje mkuu.Hakuna mwili halisi, unapungua au kuongezeka utakavyo.
Mpige matukio ataisha mkuuNishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
Form 4Wewe uliishia darasa la ngapi ili nijue nakuelekezaje mkuu.
Kwahiyo hapo unazani ni kitu sasa! Mpeleke gym!Nishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
Anza kufunga ndoa za mikataba akinenepa talaka, ndoa miaka 2 miwili unaacha hakuna kuzaa wala nini!Ni mojawapo lakini pia napenda vimodo kuliko mabonge wananishawishi sana
Okay for the purpose of body increase or decrease depends on how you maintain your body insufficiently daily life.Form 4
Umemlisha mwenyeweWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Sasa hapo kuna tofauti gani na nilichokiandika mimi mkuu, au kisa umetia umalkia??Okay for the purpose of body increase or decrease depends on how you maintain your body insufficiently daily life.
Umalkia wapi itakuwa language alafu hata nilicho kiandik hapo sikielewSasa hapo kuna tofauti gani na nilichokiandika mimi mkuu, au kisa umetia umalkia??
Umemlisha mwenyeweWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Basi ndo ujue hivyo, kama wewe ni bonge, mwili jumba ama tukunyema amini unaweza kua mwembamba vizuri tu, na kama ni mwembamba unaweza kua bonge vizuri tu.Umalkia wapi itakuwa language alafu hata nilicho kiandik hapo sikielew
Hv ndivyo mnavyodanganyana huko kijiweni kwenu?Hufanyi nae mapenzi mara kwa mara ndo mana
Unatakiwa umchape kisawasawa sawa sio kimoja tu chali hapo lazima afumuke