Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Kidogo nijiachie kumbe wembamba dili ingekula kwangu,,, enewei we hujanona!?
 
Wewe kama ni modo kaa mkao wa kula sipendagi vibonge modo flan ivi kipotabo ndio zangu

Sijanona wala sijakonda yaani siwezi ishiwa pawa
 
Hahahaha umesema mke sio mlaji sana wa chakula,basi anakukula wewe ki namna fulani ndoman ye ananona we hunoni
 
Ndo shida ya watoto wadogo kuoa so ulitegemea aendelee kuwa modo......

Nae akisema anapenda wenye nywele baaadae wewe utapoota kipara cha uzee
 
Hebu fafanua kidogo huenda kuna mahali nakosea, ananikula kivipi yani
 
Uzuri na urembo hupotea lajini tabia njema hudumu milele kama ulimoenda mkeo kwa uzuri au uportable wake basi maumivu ni makubwa
 
Ndo shida ya watoto wadogo kuoa so ulitegemea aendelee kuwa modo......

Nae akisema anapenda wenye nywele baaadae wewe utapoota kipara cha uzee
Hivi utoto mwisho miaka mingapi ili nijue kama na miaka yangu 40 bado ni mtoto au mtu mzima
 
amani ya moyo mzee unayompa na chakula tosha na kuridhika........nk
Hapo sawa nikajua kazi ninayompiga inamnenepesha nipunguze

Ila ukweli karidhika tatizo sasa anafumuka sana kuridhika gani huko mbona kuna warioridhika ila hawawi vibonge matukunyema
 
wapo wanaokula sana pia na hawanenepi kwaio ni kawaida,, mfano mimi huwa nanenepa nikiridhika tuu kuna mwili huwa naupata,ila nisiporidhika hata nile vipi hakuna kitu
Kuhusu shoo ikizidi anakonda mbona, endeleeni ivo ivo kwa afya🙂🙂
 
Hili la shoo sina uhakika nalo maana kwenye hilo swala huwa hadi ananiona kero na kawa mvivu kweli ila ubonge ni uleule

Kwenye kuridhika hapo ni kweli, ila sasa ushauri wako ni nini au nianze masimango apunguze kuridhika au nimpige matukio kama wengine wanavyosema humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…