Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Tatizo ni kwamba umeleta dada umlipe, ila bado unaona wivu mkeo kutokufanya kazi, cha muhimu kama ana ulimbukeni kwenye matumizi ya dada mwambie afuatilie sana malezi ya watoto, chumbani kwako marufuku dada wa kazi kuingia kufanya usafi, na kufua nguo zako bhaassii...kama anakupikia mara moja moja anapopata muda ni sawa. Kuna wanaume mnafanyaga wake zenu kama punda muda wote mnataka kuona yuko busy nyumbani hata kwenye vikazi ambavyo dada wa kazi angefanya
"Kuna wanaume mnawafanyaga wake zenu kama punda..."
Unamtetea mwanamke mwenzio aliye olewa halafu unasahau kama huyo house girl nae ni mwanamke mwenzio.
 
Back
Top Bottom