Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Tatizo umelianzisha wewe, haiwezekani mke wako anaondoka nyumbani bila taarifa au safari hazina kichwa wala miguu na wewe, kimya kama kondoo, simama kwenye nafasi yako kama kiongozi wa familia.

Sasa hapo ishu ni tatu tu,

  1. toa maelekezo ya mambo unayoyataka na utaratibu nyumbani
  2. Akikataa timua dada wa kazi or,
  3. akiwepo wewe kuwa busy na dada wa kazi na ajue kama una interest flani hivi.​
 
Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Hataishia kuwajibi tu, utakuwa umemjengea uhasama huyo binti!
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Wewe ni mwanaume au mvulana?
 
Duh
Too much ,kumuachia Kila kitu dada wa kazi sio sawa
 
Siku utakapomkuta mumeo amekaliwa kwa juu na dada wa kazi huku akimkatikia ndio utajua kua haya ni mawazo ya kimaskin ama ya kitajiri.. unless kama wewe utakua lesbian..hata ukisagana Bado tu huyo anayekusaga akipata dada wa kazi anayemjali kwa kila kitu na kumfulia na kumpikia kuhakikisha kila mara kua Yuko sawa Iko siku utawakuta kitandani ...kwaio hauna pa kukimbilia..endelea kuishi maisha ya mwanamke wa kibeijing..
We achana na yangu, kama umeoa ufuliwe na kupikiwa pole. Wapo wanaona kuwa mke bora ufue na kupika, bado una akili ya kimaskini
 
Watu tunazaa kisha malezi tunawaachie wengine
 
Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
Hilo la kufanya dhambi na dada wa kazi ni petrol kwenye Moto. Hilo la kumuuliza dada wa kazi maendeleo ya watoto na kila kitu kuhusu nyumbani nakuunga mkono!
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
kwanini wewe usifanye baadhi ya hayo majukumu? kama kuwaangalia watoto?
 
Muondoe dada wa kaz kama kapata uhuru wa kuzurura ndo mwanzo wa kuchapiwa nje
Ulio mke Kwa ajili ya kuangalia wewe na watoto kama anazifanya msichana bas kaz ya mke ni nin
 
Onyesha
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. ONYESHA UPENDO KWA DADA WA KAZI. NARUDIA TENA "ONYESHA UPENDO KWA DADA WA KAZI"
 
Tatizo umelianzisha wewe, haiwezekani mke wako anaondoka nyumbani bila taarifa au safari hazina kichwa wala miguu na wewe, kimya kama kondoo, simama kwenye nafasi yako kama kiongozi wa familia.

Sasa hapo ishu ni tatu tu,

  1. toa maelekezo ya mambo unayoyataka na utaratibu nyumbani
  2. Akikataa timua dada wa kazi or,
  3. akiwepo wewe kuwa busy na dada wa kazi na ajue kama una interest flani hivi.​
Point ya namba tatu (3) ni muhimu.
 
We achana na yangu, kama umeoa ufuliwe na kupikiwa pole. Wapo wanaona kuwa mke bora ufue na kupika, bado una akili ya kimaskini
narudia Siku utakapomkuta mumeo amekaliwa kwa juu na dada wa kazi huku akimkatikia ndio utajua kua haya ni mawazo ya kimaskin ama ya kitajiri.. unless kama wewe utakua lesbian..hata ukisagana Bado tu huyo anayekusaga akipata dada wa kazi anayemjali kwa kila kitu na kumfulia na kumpikia kuhakikisha kila mara kua Yuko sawa Iko siku utawakuta kitandani ...kwaio hauna pa kukimbilia..endelea kuishi maisha ya mwanamke wa kibeijing....
 
Nani alitoa wazo la kuajiri binti wa kazi? Usijaribu kutembea na binti wa kazi kama umempenda kutoka moyoni muachishe kazi na umtafutie makazi mbali na hapo na mengine yanaendelea.Narudia tena usijaribu kutembea na binti wa kazi fedheha na aibu ni kubwa.Hautaishi tena kwa amani katika hiyo ndoa utakuwa mdogo kuliko pirtoni. muulize Ibrahim mume wa Sarah kilichomkuta
 
Back
Top Bottom