Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Kwenye u busy wake mbususu anatoa kwa ushirikiano? Nimeiliza kwa ushirikiano sio kususiwa ye alalie kule.
Mwambie tumuongee salary huyu mdada wa kazi kwakuwa anashughulika sana. Akisema ndio bila kaugimvi kidogo kuna kasoro mahali.
Washaaa beki tatu.
 
Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
Duh watu mnajua fitina! Kwamba li my wife mke wangu alione kama takataka?
 
Sasa mdada wa kazi alikuwa wanini? Miaka sita anasota mwenyewe then miezi mitatu anapumzika we unaona wivu, cha msingi hizo issue za kudhurura kaa nae ongea nae.
 
kwa hekima na taadhima kaa chini na mkeo namjadili jambo hili ila ujadili nae ukiwa na mamlaka yote i mean wewe ndie kichwa cha familia so kwa asilimia hamsini kuwa na amri na hamsini kuwa mpole
Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
 
Cha muhimu kama ana ulimbukeni kwenye matumizi ya dada mwambie afuatilie sana malezi ya watoto, chumbani kwako marufuku dada wa kazi kuingia kufanya usafi, na kufua nguo zako bhaassii...kama anakupikia mara moja moja anapopata muda ni sawa.
Nakazia kwenye haya maneno hapa.
Kinachomsumbua huyo mwanamke ni ulimbukeni wa dada wa kazi so anataka kufurahia na kuenjoy kuwa Bosi kwa kipindi fulani baadae akushazoea ataanza kubadilika polepole na kurudi kama zamani kisha atakuwa anasaidiana kazi na dada wa kazi.
So kwa kifupi wala haihitaji kupanic na kutumia nguvu nyingi mambo yatabadilika taratibu
 
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Huzuni sana hii niliikuta sehemu ndio maana unaambiwa bora ukosee kujenga ukuta utabomoa ili ujenge upya ila ukikosea kuoa ndio imetoka hio
 
Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
 
Hamna taji wala ushujaa kwenye kuteseka na majukumu ya nyumbani kama kuna wakukusaidia, wacha mkeo afanye kinachompa amani. Huyo mdada wa kazi ni kwaajili yake sio wewe.
Wacha kuumiza roho kwa mkeo kujitafuta upya baada ya malezi, fanya yako mkutane chumbani
Ushauri wa kiutu uzima huu
 
Nakazia kwenye haya maneno hapa.
Kinachomsumbua huyo mwanamke ni ulimbukeni wa dada wa kazi so anataka kufurahia na kuenjoy kuwa Bosi kwa kipindi fulani baadae akushazoea ataanza kubadilika polepole na kurudi kama zamani kisha atakuwa anasaidiana kazi na dada wa kazi.
So kwa kifupi wala haihitaji kupanic na kutumia nguvu nyingi mambo yatabadilika taratibu
Hii niliikuta sehemu hapo inahitajika backup ya haraka kuokoa hio ndoa wajomba ndugu jamaa inabidi wawe wanapigapiga route hapo mambo yataenda sawa lazima aone aibu
 
Yu neva no Mai furendi isi Mei bi godi keni givu Yu a jifti, Wai do nti yu yuzi zati chansi? Mkule binti anyooke mtu 😂
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Tulia,tafuta muda uongee nae wewe mwenyewe
 
Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
Lazima akifanya hivyo amlinde mtoto wa watu! Nakumbuka juzi juzi nilikuwa namlaumu housemaid mbele ya wife kwa kupasi sarawiri yangu na kuikunja wakati haina kifungo. Bi mkubwa akasema hiyo siyo kazi ya housemaid ni yake. Lakini mpaka anarudi Dodoma sikuona cha kifungo au mtoto wake. Kuepusha shari nikaiweka katika Kabati lake akirudi azikute.

Ukitaka Amani nyumbani kwako, lazima utenganishe majukumu yako na mkeo. Majukumu yake usimwingilie ingawa yako atayaigilia tu.

Aidha lazima uwe na msimamo wa kueleweka. Mfano kwa upande wangu kupika, usafi wa nyumba, Kufua na kupiga pasi anajua ni jukumu lake. Mimi nahakikisha kuna vitendea kazi tu. Hata housemaid namlipa mimi ingawa ni mtu wake! Maana najua hawezi mpa huo mshahara kama serikali inavyoagiza ingawa hela anayo. Washing machines zipo mbili ila ni marufuku housemaid kuoperate hata mimi. Unampa uwanja wake wa kujidai.
 
Back
Top Bottom