Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Usifikiri hii ni nadharia, tumeyapitia
Mkuu watu wametofautiana mihemko kwenye kuvumilia vitu kama hivyo.
Kuna mwingine ukifanya hivyo ataongea yataisha,kuna mwingine ukifanya hivyo hasemi kitu anaumia ndani kwa ndani kisha anachemsha maji ya moto na kumwagia au anaweza hata kumuwekea sumu kwenye chakula,so kama iliwahi kufanya kazi kwa mkeo si kila mahali inaweza kutumika mbinu hiyo
 
Akifanya hivyo huyo mtoto amrudishe kwao kabla hajamwagiwa uji wa moto
Tatizo ni pale anapodhani kuwa unammendea. Kama hilo halipo hawezi kummwagi uji ila ataanza kumchukia na kuwa mkali kwake. Hapo ndipo ulinzi unapohitajika unamlinda kama mtoto wako wa nje mbele ya bi mkubwa
 
Tatizo ni pale anapodhani kuwa unammendea. Kama hilo halipo hawezi kummwagi uji ila ataanza kumchukia na kuwa mkali kwake. Hapo ndipo ulinzi unapohitajika unamlinda kama mtoto wako wa nje mbele ya bi mkubwa
Usijaribu kabisa hio kitu yaan hata usijaribu
 
Usisikilize ushauri wa wanawake wa humu wote wana mtetea mwanamke mwenzao.

Mungu aliposema nitamfanyia msadia wa kufanana nae.......je majukumu yako ya kiume huwa una mwachia mkeo? Jibu ni hapana ...kitendo cha kuleta msada wa kazi nyumbani na mkeo kubadirika na kusahau majukumu nyeti kama kulea nakutunza watoto maana yake ni kwamba tyr hajitambui hivyo fanya uwezavyo umuondoe huyo house girl

Kama ni ngumu badirisha mfumo majukumu yote ya hapo home uwe unampa house girl
 
Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
Asisahau kutumia kinga, hakuna House girl TASA
 
Mwambie mke wako umeanza kuvutiwa na Dada wa kazi jinsi anavyokujali na kukuhudumia na umepata wazo unataka umuoe mke wa pili

Ukitoka ukaenda kazini ukirudi humkuti huyo dada wa kazi utakuta mke kakupikia fresh na mambo yamekaa kwenye mstari.
 
“Mimi na mke wangu tangu tulipooana…” shoda imeanzia hapo, ulitakiwa umuoe sio muoane.
 
Hamna taji wala ushujaa kwenye kuteseka na majukumu ya nyumbani kama kuna wakukusaidia, wacha mkeo afanye kinachompa amani. Huyo mdada wa kazi ni kwaajili yake sio wewe.
Wacha kuumiza roho kwa mkeo kujitafuta upya baada ya malezi, fanya yako mkutane chumbani
Hawa ndio wake wa mwendokasi tulionao nyakati hizi.

Mke kuhakikisha watoto ni wasafi, wamekula, wamelala vizuri, kuhakikisha nyumba ipo safi kila wakati wanasema ni "kuteseka na majukumu"!

Yaani weekend mke kupika haiwezekani tena, hawa ndio wanawake tunaooa nyakati hizi.
 
kwa hekima na taadhima kaa chini na mkeo namjadili jambo hili ila ujadili nae ukiwa na mamlaka yote i mean wewe ndie kichwa cha familia so kwa asilimia hamsini kuwa na amri na hamsini kuwa mpole
Anaweza kweli huyu kutumia kofia ya ukichwa? Anamwogopa mke wake huyu
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
umpotezee muyajenge vizuri na mdada wa kazi
 
Kuwa makini sana na hili badiliko lake. Siyo la kawaida.

Muda si mrefu utaitwa baba mkubwa. Anachofata huko kwenye misele yake kitazaa matunda.
 
Back
Top Bottom