Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Hamna taji wala ushujaa kwenye kuteseka na majukumu ya nyumbani kama kuna wakukusaidia, wacha mkeo afanye kinachompa amani. Huyo mdada wa kazi ni kwaajili yake sio wewe.
Wacha kuumiza roho kwa mkeo kujitafuta upya baada ya malezi, fanya yako mkutane chumbani
Akili zingine zimejaa Mavi kabisa.

Umemuelewa mleta mada kweli..

Wanawake wa saivi ni mavi kabisa.

Ile cream ya akina mama tibaijuka mama mwinyi huwez kupata tena wakati huu

Halafu akatokea huyo dada wa kazi anajielewa au akawa ni mmoja wa wanawake wanaojielewa na wenye kujali , akamjali mume na watoto , ampikie mume, ajue ratiba zake, ajue anachopenda kula, amuwekee maji ya kuoga, afue nguo zake za watoto, Hadi nguo za ndani za mumeo, wewe si hutaki kuteseka na majukumu ya nyumban bwana..badae waliwazane, watoto wampemde dada kuliko wewe.mama.wa kibeijing ambaye hutaki kuteseka, mwisho wa siku dada anabeba mimba ,mzee anafurahi...wewe unaanza Fujo,,eti mume wangu kalala na mfanyakazi unaanza kusumbua Wazee na vikao , badae wanagundua wewe ndio chanzo ..upambane na Hali yako Sasa mana umepata mke.mwennza.
 
Kuwa makini sana na hili badiliko lake. Siyo la kawaida.

Muda si mrefu utaitwa baba mkubwa. Anachofata huko kwenye misele yake kitazaa matunda.
Na yeye huyo mama ataitwa mama mkubwa. Ni suala la muda mfupi tu dada wa kazi atamtunuka tena kwa mapenzi yote na ndio atakua mama wa watoto wake
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Hapo dada wa kazi ndiye mke wako hilo lingine galasa
 
Kuna mtaa niliishi huko nyuma, jirani baba wa familia ni daktari, mama muhasibu, wote wanaondoka asubuhi sana kwenda kazini, wote wanarudi jioni au wakati mwingine usiku.
Mtoto alikuwa mmoja wa kike , kitoto kilikua kizuri kirembo umri miaka kama mitatu au minne(sina uhakika).

Yule mama akirudi anauliza mfanya kazi "mtoto amekula?" , "mtoto ameoga?" , dada wa kazi ni kusema ndio...

Kuna muda yule dada wa kazi akawa na yeye amefahamu muda wa matajiri zake kurudi, hivyo mchana na yeye anatoka kutembea kwa shoga zake na vibwana vyake huko mtaani, sasa kipingamizi inakuwa mtoto.

Yule dada akawa anamuwekea yule mtoto dawa za usingizi kwenye juice, soda au uji, sijui rafiki zake walimshauri hivyo.

Kitoto kinalala fofofo, usingizi mzito sana, kuamka jioni, mchana huyo dada ni kwenda kuzurura huku na kule..

Kumbe zile dawa zikawa zinamuathiri mtoto, huyo mtoto ni binti hivi sasa, amekuwa kama mwehu au mtu aliyerukwa na akili.

Wazazi waligundua muda umekwenda baada ya kwenda hospitalini, huyo dada wa kazi alishaondoka muda.

Kile kitendo kiliniuma sana, nikimkumbuka yule mtoto alivyokuwa mzuri , mcheshi, nilipokuwa napita nje ya uzio, nakiona getini kimesimama kimeshika nondo za geti kimevaa yeboyebo za pink na shortie overall , roho inaniuma sana...

Hata kama una dada wa kazi, kuwa makini na ufuatiliaji na watoto wako/mtoto.
Na ubize wa kazi usikufanye ukashindwa mfuatilia mtoto..
Well said....😍
 
Ushauri wa kiutu uzima huu
Hawaelewi ndoa zina majira na misimu, kuna kipindi katika malezi zaidi watoto wakiwa wadogo kabla ya umri wa shule ya msingi, wamama wengi huwa wamezama ktk jukumu la kulea na kujisahau wenyewe. Wakikuwa na kujitegemea kwa kiasi fulani ameshapoteza au amesahau identity nyingine mbali na kuwa mama na mke, akili inaanza kuchangamka anatamani sasa na yeye awe na cha kufanya ama kwa kumpatia senti mbili tatu au kumkeep busy.
Ili mradi hatumii hiyo nafasi vibaya kwa kulewa, mitoko ya usiku, kufanya yasiyofaa, kutelekeza watoto na mume, wacha ajitafute. Jamaa anaona wivu kuona mke wake ametulizana sasa, anasahau happy wife = happy life.
Anataka kumaanisha mkewe akipata shida/ugonjwa/ajali hawezi kufanya kazi za nyumbani hafai atamkimbia kwa maana hii
 
Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
Kuna muda wanawake hawa wanatakiwa mbwai mbwai tu ili akili ziwarudie , maana wanajitoaga ufahamu makusudi kabisa hawa viumbe,mshtue kidogo tomba bint wa kazi halafu kila kitu kuhusu familia ,chakula na watoto uwe unauliza kwa binti wa kazi hat kama yeye yupo na ukiweza jioni unavyo rudi mihangaikoni mbebee kazawadi bint wa kazi , mwenyewe ataamua abaki ajirekebishe au afunge mabegi aende akafundwe kwanza
 
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.

Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu

Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi

MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI

1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.

2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote

3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana

4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele

5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi

Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.

Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Achana na mke wako owa huyo dada wa kazi
 
Ameanza kutafunwa huyo
 
Akili zingine zimejaa Mavi kabisa.

Umemuelewa mleta mada kweli..

Wanawake wa saivi ni mavi kabisa.

Ile cream ya akina mama tibaijuka mama mwinyi huwez kupata tena wakati huu

Halafu akatokea huyo dada wa kazi anajielewa au akawa ni mmoja wa wanawake wanaojielewa na wenye kujali , akamjali mume na watoto , ampikie mume, ajue ratiba zake, ajue anachopenda kula, amuwekee maji ya kuoga, afue nguo zake za watoto, Hadi nguo za ndani za mumeo, wewe si hutaki kuteseka na majukumu ya nyumban bwana..badae waliwazane, watoto wampemde dada kuliko wewe.mama.wa kibeijing ambaye hutaki kuteseka, mwisho wa siku dada anabeba mimba ,mzee anafurahi...wewe unaanza Fujo,,eti mume wangu kalala na mfanyakazi unaanza kusumbua Wazee na vikao , badae wanagundua wewe ndio chanzo ..upambane na Hali yako Sasa mana umepata mke.mwennza.
🤣 mawazo ya kimasikini haya
 
Fanya mapenzi na dada wa kazi huyo ndie faraja yako mpya 😇
Acha upumbavu. Kwenye ukoo wako hawezi kutokea binti akafanya kazi kama hiyo? Utafurahi ukisikia katendewa vitendo viovu unavyopendekeza hapa? Acha dharau kwa watoto wa watu.
 
Kuna mtaa niliishi huko nyuma, jirani baba wa familia ni daktari, mama muhasibu, wote wanaondoka asubuhi sana kwenda kazini, wote wanarudi jioni au wakati mwingine usiku.
Mtoto alikuwa mmoja wa kike , kitoto kilikua kizuri kirembo umri miaka kama mitatu au minne(sina uhakika).

Yule mama akirudi anauliza mfanya kazi "mtoto amekula?" , "mtoto ameoga?" , dada wa kazi ni kusema ndio...

Kuna muda yule dada wa kazi akawa na yeye amefahamu muda wa matajiri zake kurudi, hivyo mchana na yeye anatoka kutembea kwa shoga zake na vibwana vyake huko mtaani, sasa kipingamizi inakuwa mtoto.

Yule dada akawa anamuwekea yule mtoto dawa za usingizi kwenye juice, soda au uji, sijui rafiki zake walimshauri hivyo.

Kitoto kinalala fofofo, usingizi mzito sana, kuamka jioni, mchana huyo dada ni kwenda kuzurura huku na kule..

Kumbe zile dawa zikawa zinamuathiri mtoto, huyo mtoto ni binti hivi sasa, amekuwa kama mwehu au mtu aliyerukwa na akili.

Wazazi waligundua muda umekwenda baada ya kwenda hospitalini, huyo dada wa kazi alishaondoka muda.

Kile kitendo kiliniuma sana, nikimkumbuka yule mtoto alivyokuwa mzuri , mcheshi, nilipokuwa napita nje ya uzio, nakiona getini kimesimama kimeshika nondo za geti kimevaa yeboyebo za pink na shortie overall , roho inaniuma sana...

Hata kama una dada wa kazi, kuwa makini na ufuatiliaji na watoto wako/mtoto.
Na ubize wa kazi usikufanye ukashindwa mfuatilia mtoto..
Inasikitisha kilichotokea kwa mtoto huyu
 
Yaani hujajua tu Mkeo anakuambia nini hapo?
 
Kuna muda wanawake hawa wanatakiwa mbwai mbwai , maana wanajitoaga ufahamu makusudi kabisa hawa viumbe,mshtue kidogo tomba bint wa kazi hakafu kila kitu kuhusu familia ,chakula na watoto uwe unauliza kwa binti wa kazi hat kama yeye yupo na ukiweza jioni unavyo rudi mihangaikoni mbebee kazawadu bint wa kazi , mwenyewe ataamua abaki ajirekebishe au afunge mabegi aende akagundwe kwanza
Kwenye hilo la kulomba beki 3 sikushauri. Utajuta maisha yako yote, na ndio itakuwa chanzo cha mgogoro na huyo mwanamke wako maisha yako yote. Kama unataka kuendelea na mkeo huyohuyo liepuke liepuke liepuke. Lakini kama unataka kuachana nae huyo mke, basi Lomba Lomba beki 3.

Lakini jiulize, unataka kupata nini? Jifunze kuwa mwanaume, simama kama mwanaume, usichokipenda na kilicho nje ya utaratibu, kemea, onya, elekeza kwa upendo. Mkeo hasikii, shuka moja kwa moja kuelekeza HG na upate mrejesho toka kwa HG. Kama ana akili isiyopungufu mkeo atajiongeza.
 
Hawaelewi ndoa zina majira na misimu, kuna kipindi katika malezi zaidi watoto wakiwa wadogo kabla ya umri wa shule ya msingi, wamama wengi huwa wamezama ktk jukumu la kulea na kujisahau wenyewe. Wakikuwa na kujitegemea kwa kiasi fulani ameshapoteza au amesahau identity nyingine mbali na kuwa mama na mke, akili inaanza kuchangamka anatamani sasa na yeye awe na cha kufanya ama kwa kumpatia senti mbili tatu au kumkeep busy.
Ili mradi hatumii hiyo nafasi vibaya kwa kulewa, mitoko ya usiku, kufanya yasiyofaa, kutelekeza watoto na mume, wacha ajitafute. Jamaa anaona wivu kuona mke wake ametulizana sasa, anasahau happy wife = happy life.
Anataka kumaanisha mkewe akipata shida/ugonjwa/ajali hawezi kufanya kazi za nyumbani hafai atamkimbia kwa maana hii
Hivi vitu huwezi kuvielewa mpaka uwe miongoni mwake. Huyu kijana analalamika lakini wasiwasi wake ni hapo nilipobold
 
Back
Top Bottom