Mke wangu amejifungua mtoto njiti nibaki sielewi kabisa

Pole sana mdogo wangu. Ila uzi huu umeuleta JF kwa mqtajiri na watu wenye maisha perfect itabidi uwe mvumilivu tu.
 
watoto njiti ukiwalea vizuri, hukomaa mapema sana wakiwa na akili na busara sana. mtunze vizuri sana na mshukuru Mungu wako. Wale wanaochelewa kuzaliwa baada ya siku zao huwa ni watoto goigoi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…