King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kawaida tu ,atakua fresh ,fuata ushauri wa Drs.Habari za mida hii wakuu natumai mko salama
Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔
Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto
Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)
Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi
Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu
Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Pole kwa changamoto.Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Uingixee weweHabari za mida hii wakuu natumai mko salama

Ushalewa bwasheeUingixee wewe
Akutunzie mwingine
Hajazaliwa wa aina hioo mkuu
Mushaurii
Fb
Kuna jamaa wa chadema twaha mtumie kule akiweka fb dk 0 una mzigo ana nyota sana kuchangiwa akiweka kitu
Advs
Unashtua wapi bwashee niko maeneo ya Afrikaans na Malika ka5 niondoke na risk yanguUshalewa bwashee
Aaah leo sijaweka vitu mbavuni bwasheeUnashtua wapi bwashee niko maeneo ya Afrikaans na Malika ka5 niondoke na risk yangu
Na hakuna mahali nimeandika wameanza kuzaliwa leo!!Premature babies wamekuwa wakizaliwa toka mwanzo wa dunia.
Siyo changamoto ya nyakati hizi pekee.
Ni bikra uliyempata JF auHabari za mida hii wakuu natumai mko salama
Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔
Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto
Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)
Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi
Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu
Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Haujiwezi kifedha unapata ujasiri upi wa kua na nyege?
Ulishawahi kuugua ukichaa?Habari za mida hii wakuu natumai mko salama
Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔
Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto
Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)
Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi
Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu
Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
mimba sio dharula usituchosheNilijipanga kulingana na uwezo wangu though Ni jobless Ila hii imetokea Kama dharula asee sikutegemea haya yote
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama