Hizo ni shobo sasa!Mada kuu inahusu njiti (premature baby).
Siyo changamoto za uzazi kiujumla wake.
Hoja yako upo sahihi lakini siyo kwa mjadala wa OP. It is misleading the original discussion, though generally you are very right
Pole sana bingwaNASHUKURU KWA MASHAURI YENU NYOTE
mtoto ameaga dunia usiku huo huo wa Jana🙏🙏
Uzi ufungwe niwatakie mafanikio mema #mwishomwema
Basi samahani mkuu.Hizo ni shobo sasa!
Wewe ungechangia hiyo mada kuu ingetosha kama maoni yangu hayakupaswa kuwa hapa unge-report kwa wanaolipwa kufanya kazi hiyo!!
Kuna maisha baada ya haya maisha,,Ni upumbavu tu na kujiona wama maisha fulani sorted.
Naamini Kuna watu humu maisha yanawachapa hatariii na hawawezi kusema, ni vile TU wanajifanya matajiri majukwaaniNi upumbavu tu na kujiona wama maisha fulani sorted.
Hakika mwanaume na yey mwanamke akishakuwa na ujauzito muhim kuweka akiba ata 3k kwa siku nyote wawili uzazi una mengi sanaSasa Mwanamke mpaka anafikisha miezi 7 hujajiandaa kiuchumi kupokea mzazi na mwanao?
Hebu acha madeko
ushauri wa hekima.Sio mwenzetu ana shida wanajitokeza watu na maneno ya kejeli utafikiri aliyefikwa na haya alipenda wakati watoto njiti walikuwepo toka dunia inaumbwa na hata kabla ya ujio wa YESUUsijali mke wangu pia alijifungua mtoto akiwa na miezi saba akawekwa kwenye chumba cha joto kama siku tano tukarudi nyumbani sasaivi anamiezi 9 anaendelea vizuri kabisa usiogope labda gharama za sindano sijui ya kukuza mapafu zinauzwa elfu 15 kila siku kwahizo siku ambazo atakuwa chumba cha joto unanunua kwa ajili ya mtoto
halafu wengi huwa wanakuwa vichwa balaaMtoto njiti mbona akitunzwa vizuri anakua fresh tyuu,
Nimeshuhudia mtoto wa uncle alizaliwa njiti, leo kawa kijana wa maana kabisa.
Ukiambiwa alizaliwa njiti huwezi amini.
Jamani mgesoma mada yote na kujua updatesUsijali mke wangu pia alijifungua mtoto akiwa na miezi saba akawekwa kwenye chumba cha joto kama siku tano tukarudi nyumbani sasaivi anamiezi 9 anaendelea vizuri kabisa usiogope labda gharama za sindano sijui ya kukuza mapafu zinauzwa elfu 15 kila siku kwahizo siku ambazo atakuwa chumba cha joto unanunua kwa ajili ya mtoto
Kmmk.... hii haina come back jombaaPole , ila kabla haujafungua zipu kuichakata ulipaswa kujipanga kifedha.
Ujasiri wa kudindisha mpaka kuzaana na hajajipanga kifedha sijui kautolea wapi bwashee 🤔Kmmk.... hii haina come back jombaa
U jobless why unaongeza liability?Nilijipanga kulingana na uwezo wangu though Ni jobless Ila hii imetokea Kama dharula asee sikutegemea haya yote
Sasa hasa wanaume kwani mwanaume ndie anabeba mimba au hao wanawake huwa wanabakwa?Watu wanazaa, hasa wanaume wanafanya hivyo ili kuonesha ulijari, na kuepuka kuambiwa ni Shoga.
Mtaani huku unakuta mtu hata yeye binafsi hajiwezi, ila anakazana kutafuta mwenza wapate watoto, ili kuepuka adha ya kunyooshewa kidole na jamii. Lol
Wanaume wanalazimisha kupata watoto ili hali uwezo wa malezi na matunzo hawana.Sasa hasa wanaume kwani mwanaume ndie anabeba mimba au hao wanawake huwa wanabakwa?
Haswaaaa.halafu wengi huwa wanakuwa vichwa balaa