Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Inategemeana na chakula anachokula.Unajua hawa wanawake wengi sio walaji na wanabagua sana chakula. Inawezekana tu mfumo ukawa umebadilika tumboni.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari