Mke wangu amekosa choo kwa siku saba, nisaidieni

Mke wangu amekosa choo kwa siku saba, nisaidieni

Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari

Tatizo wabongo wengi wanazani kula mboga za majani kwa wingi ni kuluzu!
 
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari

SI AKAJISAIDIE HATA KWA JIRANI TU? YAANI SIKU SABA MNAKAA KWENYE NYUMBA HAINA CHOO? SI SAWA. NYUMBA NI CHOO. MNGEJENGA CHOO PIA. ANYWAY AKAJISAIDIE KWA JIRANI. AU UNATAKA SERIKALI AU MAREKANI WAJE KUKUJENGEA?
 
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari

Wahi hospital, na kama hata hajambi ni hatari kubwa, anaweza kuwa na infection kwenye utumbo Tena uende Hospital ya kueleweka.

Tushawahi poteza ndugu kwa mazingira hayo, ni hatari kubwa sana, inaweza kuwa issue ya operation or dawa, ila get competent Dr.
 
Watu hadi wiki 2, ukiangalia ni ujinga wa kujitakia tu.
Soln;
Matunda, maji ya kunywa mengi, vyakula visivyokobolewa, maziwa mtindi, juisi ya ukwaju.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Wanawake ukiwaambia kula ugali wa dona wanavyokujibu kwa kinyaa utadhani umewaambia kuwa ugali wa mbolea ya ng'ombe. Hawajui ugali wa dona una muhimu sana kwenye mfumo wa diagestion.
 
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Hii ilimpata wife tulitumia kienyeji saiz fresh ni mitego ya wananzengo alibadilisha sana dawa za kisasa bila mafanikio WANADAMU WABAYA
 
Nadhani constipation ni choo ngumu, ila huyu hajapata kbsa ht hicho kigumu
Sasa mzee mtu asipopata choo maana yake si choo kinakuwa kigumu au unaelewaje vitu? Tairi ya gari ikipata pancha si ndio upepo umetoka au? [emoji848]

Constipation ndio tatizo linavyoitwa hivyo.
 
Siku 7 mkuu na msosi alikuwa anakula?
Mzee hapo ni mzinga umepigwa.
Kawaida hiyo unajua urefu wa utumbo wa mwanadamu ni mita ngapi? [emoji848]

Utumbo unaweza kukaa na mzigo wa wiki mbili kama vitu havishuki. Ila balaa siku akipewa dawa halafu akashushe mzigo, atashusha ndoo ndogo nzima halafu smell yake mtaa wa pili watajua kuna mtu kashusha mzigo huko mtaa wa nyuma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Mapapai na Blue Band atumie sana
 
Kawaida hiyo unajua urefu wa utumbo wa mwanadamu ni mita ngapi? [emoji848]

Utumbo unaweza kukaa na mzigo wa wiki mbili kama vitu havishuki. Ila balaa siku akipewa dawa halafu akashushe mzigo, atashusha ndoo ndogo nzima halafu smell yake mtaa wa pili watajua kuna mtu kashusha mzigo huko mtaa wa nyuma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh kwa experience yangu maximum ni siku 3 ila kama hio kitu ipomsiku akienda kushusha si atapata madhara, mzigo utakuwa kama jiwe?
 
Kama Kuna comment yeyote ya kataa ndoa hapa naomba mnitag ifike mahali tusimamie nidhamu ya
wanachama.
 
Mwambie aende hospital watampatia Laxatives za kumeza na za kuchomeka njia ya haja kubwa atashusha mzigo ambao hautaamini ulikuwa tumboni mwake.

Zamani wazee wetu walikuwa wanatibu constipation kwa kuchemsha mafuta ya kondoo kisha yanapoa kidogo unayanywa kama uji lita kadhaa halafu unasubiria balaa.

Utaendesha hadi dhambi zitatolewa.
 
Pole Sana Ila kuna dawa huitwa "mgalula" - hili jina la kihaya

Ikiwa hajapata choo waweza mchemshia ni Dawa nzuri akipona mwambie aanze kubadilisha lifestyle

Anywe maji ya vuguvugu Ahsubi angalau nusu Lita

Chakula chenye mchanganyiko wa matunda na mboga mboga .

Ajitahidi kufanya mazoezi ya akili Kama meditation ili kuondoa stress za Mara kwa Mara na kila akijihisi kwenda chooni aende upesi.🤝
 
Back
Top Bottom