Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Watu wanakaa hadi wiki mbili hajashusha mzigo umekataa kutoka. Akitaka kushusha anaumia kama anataka kupitisha kichwa cha mtoto. Sasa kuna dawa anapewa hapo zingine anachomeka chini (ni kidonge) nyingine anakunywa ya maji na ya vidonge. Hapo atasikilizia masaa akienda huko toilet atashusha mzigo mwingi balaa.Duuh kwa experience yangu maximum ni siku 3 ila kama hio kitu ipomsiku akienda kushusha si atapata madhara, mzigo utakuwa kama jiwe?