Inategemeana na chakula anachokula.Unajua hawa wanawake wengi sio walaji na wanabagua sana chakula. Inawezekana tu mfumo ukawa umebadilika tumboni.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Nadhani constipation ni choo ngumu, ila huyu hajapata kbsa ht hicho kigumuConstipation hiyo aende hospital wampe dawa za kuhara. Mwambie awe anakunywa maji na matunda. Wanawake wavivu kunywa maji.
Majani ya chai tuDar, grean ndo ipojee
Tumbo kumuuma lazima mwambie ale ndizi mbivu au papai na maji kwa wingiHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Atafute na juice ya ukwaju au ubuyuTumbo kumuuma lazima mwambie ale ndizi mbivu au papai na maji kwa wingi
Kweli wewe bichwa komwe [emoji3][emoji3]Amekosa choo au ulikifukia kwa mchanga ukakiziba? Roho mbaya tu kumfanyia mwenzio au umebomoa choo wewe?
Jengeni choo kipya mwenzio akanye jamani! Hivi choo nacho ni kitu cha kukosa!
HuwaMajani ya chai tu View attachment 2980900
Chizi anachekesha akiwa hatoki kwenye ukoo wakoaAmekosa choo au ulikifukia kwa mchanga ukakiziba? Roho mbaya tu kumfanyia mwenzio au umebomoa choo wewe?
Jengeni choo kipya mwenzio akanye jamani! Hivi choo nacho ni kitu cha kukosa!
mzinga kiajeeSiku 7 mkuu na msosi alikuwa anakula?
Mzee hapo ni mzinga umepigwa.
Kama kuna watu anaishi nao hapo wampeleke hospitali haraka sana kule watampatia laxative fasta tu atahara. Sisi kwenye mifugo tunatumia mild enema kwa kuwapiga bomba na kuwajaza hizo laxative fasta tu nguruwe au ng'ombe anahara! Naamini hata huko hospitali watampiga bomba! Hii asijaribu kunywa dawa za kuharisha akiwa home naona wadau wanashauri anywe Castor oil, hii anaweza kuzidisha kipimo akahara kama bata! Aende hospitali!Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Inawezekana kabisa na inawatokea watu wengi tuYaan hajapata haja kubwa kwa cku 7? Inawezekanajee?
Duuuh hatariiiInawezekana kabisa na inawatokea watu wengi tu
Mkuu hilo tatizo dogo, mwambie aende Duka la dawa anunue Dawa inaitwa Bisacodyl.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
acha taarabu wewe hapa sio kuchambanaAmekosa choo au ulikifukia kwa mchanga ukakiziba? Roho mbaya tu kumfanyia mwenzio au umebomoa choo wewe?
Jengeni choo kipya mwenzio akanye jamani! Hivi choo nacho ni kitu cha kukosa!