Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hamjui hospitali zilipo? Ale mapapai mawili yaliyoiva sana kabla hajaelekea hospitaliHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Kwa siku zote hizo madakitari wameshindwa? Au unatafuta sisi madakitari wa bure! Nenda duka kubwa la dawa lenye wafamasia watakusaidia bure, ila ujue kukosa choo kunaweza kusababisha kifo.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Tahadhari:Majani ya chai tu View attachment 2980900
Wee jamaa vipi, leta mrejesho wa mgonjwa ulifanikiwaje?Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Anapitisha Hewa namaanisha anajamba??Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Constipation hio aende hospitali.. pia ale vyakula vya kulainisha choo
Na maparachichiale mapapai kwa wingi
Unakuta anashindilia machips tuInategemeana na chakula anachokula.Unajua hawa wanawake wengi sio walaji na wanabagua sana chakula. Inawezekana tu mfumo ukawa umebadilika tumboni.
Siyo hatari kivile labda ingekuwa haja ndogo.Duuh mbona hatariii hii. Lol
Anapaswa amkague...Constipation hio aende hospitali.. pia ale vyakula vya kulainisha choo
Atafute mmasai au duka la kisuni aombe dawa ya kusafisha tumbo ni vimbegu flani ivi...Chap atapata choo hadi panakuwa kama panapiga mluzi akienda Chooni.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Anywe maji ya moto kikombe kimoja kila baada ya lisaa limoja.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje
Pole sana ndugu. Wataalamu wanasema kuwa ukikosa haja kubwa kwa zaidi ya siku tatu ni lazima umuone daktari. You are constipated.Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari