Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Maziwa fresh mabichi anywe ni fasta tu
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Unashangaa siku saba, watu wanakaa wiki mbili hawajenda toilet[emoji23][emoji23]Yaan hajapata haja kubwa kwa cku 7? Inawezekanajee?
Wanawake ukiwaambia kula ugali wa dona wanavyokujibu kwa kinyaa utadhani umewaambia kuwa ugali wa mbolea ya ng'ombe. Hawajui ugali wa dona una muhimu sana kwenye mfumo wa diagestion.Watu hadi wiki 2, ukiangalia ni ujinga wa kujitakia tu.
Soln;
Matunda, maji ya kunywa mengi, vyakula visivyokobolewa, maziwa mtindi, juisi ya ukwaju.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hii ilimpata wife tulitumia kienyeji saiz fresh ni mitego ya wananzengo alibadilisha sana dawa za kisasa bila mafanikio WANADAMU WABAYAHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Sasa mzee mtu asipopata choo maana yake si choo kinakuwa kigumu au unaelewaje vitu? Tairi ya gari ikipata pancha si ndio upepo umetoka au? [emoji848]Nadhani constipation ni choo ngumu, ila huyu hajapata kbsa ht hicho kigumu
Kawaida hiyo unajua urefu wa utumbo wa mwanadamu ni mita ngapi? [emoji848]Siku 7 mkuu na msosi alikuwa anakula?
Mzee hapo ni mzinga umepigwa.
Mapapai na Blue Band atumie sanaHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
DR Mambo JamboHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Duuh kwa experience yangu maximum ni siku 3 ila kama hio kitu ipomsiku akienda kushusha si atapata madhara, mzigo utakuwa kama jiwe?Kawaida hiyo unajua urefu wa utumbo wa mwanadamu ni mita ngapi? [emoji848]
Utumbo unaweza kukaa na mzigo wa wiki mbili kama vitu havishuki. Ila balaa siku akipewa dawa halafu akashushe mzigo, atashusha ndoo ndogo nzima halafu smell yake mtaa wa pili watajua kuna mtu kashusha mzigo huko mtaa wa nyuma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ni huduma za kwanza kwa mtu ambaye ana siku tatu au mbili bila choo. Lakini siku saba hapo anatakiwa ameze dawa za dharula na si huduma ya kwanza.Juice ya ukwaju glass nne zinatosha yaani itabidi akae chooni na kiti kabisa
Watu wengine majina yao tu yanajieleza 😁😁Kweli wewe bichwa komwe [emoji3][emoji3]