Watu wanakaa hadi wiki mbili hajashusha mzigo umekataa kutoka. Akitaka kushusha anaumia kama anataka kupitisha kichwa cha mtoto. Sasa kuna dawa anapewa hapo zingine anachomeka chini (ni kidonge) nyingine anakunywa ya maji na ya vidonge. Hapo atasikilizia masaa akienda huko toilet atashusha mzigo mwingi balaa.Duuh kwa experience yangu maximum ni siku 3 ila kama hio kitu ipomsiku akienda kushusha si atapata madhara, mzigo utakuwa kama jiwe?
Na chips mtu akishindilia hapati kabisa🤣Unakuta anashindilia machips tu
Nilimjibu kwa Post #47
Au mafuta ya mnyonyo anywe kizibo kimoja, au aende maduka ya kisuna Kuna vimbegu wanauza yaani chapu
Nawewe unaamini kabisa, yupo mbali mlete karibu uthibitisheHabari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Hii tiba ni kiboko.....Anywe maji ya moto kikombe kimoja kila baada ya lisaa limoja.
Maji yawe yamechemka kama ya chai.
Mafuta ya mnyonyo vijiko viwili, biashara imeisha
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Inategemea, ila si zaidi ya masaa 2..I can recall vijana wangu walipokuwa watoto wadogo hiyo shida ilikuwa inawasumbua Sana so kijiko kimoja unampatia kama dawa basi ni ndani ya masaa 2 tu anashusha mzigo wote kwa spidi kubwa.yanachukua muda gani kuleta majibu?
Duh, pole aisee!Bado napambna mkuu
Unatumiaje?Majani ya chai tu View attachment 2980900
Ni kama unavyotumia majani ya chai, chemsha maji then unaweka tea bags yako moja au mbili acha ikolee, unaweza ongeza sukari au asali.Unatumiaje?
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Nilifanyiwa operesheni kukatwa utumbo. Kidogo knife!Kama ni intestinal obstruction na yupo vijijini huko mtamzika soon!
Hapo mahali utumbo umejifunga pataoza.
Kukosa choo kukiambatana na maumivu ya tumbo na kiuno siyo ya kukaa nayo unakula et mapapai.