Adam joseph
New Member
- Aug 30, 2024
- 1
- 7
Njia ya kuchomoa imekushinda?Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.
Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi kabisa maana imekuwa mpaka Sasa hatuwezi kushiriki vizuri maana hata nikihitaji kukutana nae yeye hana muda na mimi kulingana hata nikikutana nae haoneshi hata ile hali ya kuwa anahisi yupo na mimi.
Please nisaidieni
Kumwaga chini sio kwa kila me, Aachie sisimizi tu zifaidi hizo siku saba za hatariSioni faida ya kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa tena wanandoa
Mpige mkeo siku zote, hizo siku 7 huwezi kuvumilia? Kama ukishindwa kumwaga chini nayo ni tabu?🤔
rythmic ni nn nieleweshe1. Uzazi wa mpango wa vipandikizi ni janga. Tumieni njia za asili kama Calender na Rythmic.
2. Kwa kuwa mkeo ananyonyesha hawezi kuwa na hisia kama alivyokuwa awali kutokana na hormones za uzazi kujikita kwenye kuzalisha maziwa.
3. Hiki ni kipindi muhimu kwako kuvumilia na kumsaidia mwenzako ili mvuke salama. Ukijikoroga ukatafuta mchepuko ndoa itasambaratikia mbali kwa kuwa mkeo atakosa kabisa umuhimu.
msiongee kama ni rahisi hivyo, kumbukeni kulea mtoto mdogo na kubeba mimba nyingine unazua stress juu ya stress kwa mama, kwa nn amkatili mtoto kaamua kujikinga kusogeza mtoto akue, sasa kukojolea nje ni kitu ya kuringia kweli? unajua kama majimaji ya mwanzo hua na vimbegu mbegu ukajikuta shababi la kukojolea nje kumbe mwanzon tu mimba tayari? wanaume elimu ya uzazi mnatakiwa muijue ni lazimaKijana, miaka 24 mshaanza uzazi wa mpango, punguzeni uzungu.. Na kama ukitaka hivyo tumia calendar tu, siku mbovu unaepuka kama unajiweza unakojolea nje.
Mmeweka uzazi wa mpango mkiwa wadogo sana, nini kilipelekea mkaenda huko?Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.
Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi kabisa maana imekuwa mpaka Sasa hatuwezi kushiriki vizuri maana hata nikihitaji kukutana nae yeye hana muda na mimi kulingana hata nikikutana nae haoneshi hata ile hali ya kuwa anahisi yupo na mimi.
Please nisaidieni
sisi tukishangia leba mara ya kwanza mnajua viapo tunavyojiapiza? yani ushakwenda ushaujua uchungu ushaleta kiumbe halaf unasema nirudi tena kule hapana ndio fasta unajikinga kwanza angalau mtoto akue huyu itakua ameeka kijiti mkewe ndio kina hizi mamboMmeweka uzazi wa mpango mkiwa wadogo sana, nini kilipelekea mkaenda huko?