Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

yaani na hospital nyingi za govt hazipatikan ni vijiti, vitanzi (kwa hospital za rufaa) condom sindano wanachomea huko private au maduka ya dawa
Wanawake wasome hapa watumie njia nyingine sindano ni hatari haifai, ndoa zimekufa uzazi pia, waliotukia wakiwa mabinti wengi wamekosa watoto sababu ya sindano, wenye kutaka kuongeza nao imeshindikana
 
hii ni nzuri haina kichocheo wanasema, na mwanamke awe na mwanaume huyohuyo mimi hiki kilinishinda sababu baba chanja akila mzigo naskia husema wanakigusa sasa mambo ya kutekenywa na vikamba ya nn
Baada ya muda hakisikii baba chanja nae atakuwa na gobole😅😅😅jamani mi bado asubuhi
 
Wanawake wasome hapa watumie njia nyingine sindano ni hatari haifai, ndoa zimekufa uzazi pia, waliotukia wakiwa mabinti wengi wamekosa watoto sababu ya sindano, wenye kutaka kuongeza nao imeshindikana
sana na watoto wengi wa kike anaona achome moja akae miezi mitatu hajulikani kumbe madhara ni makubwa na sio kila dokta atakwambia madhara na faida wachache mno huwa wazi
 
sana na watoto wengi wa kike anaona achome moja akae miezi mitatu hajulikani kumbe madhara ni makubwa na sio kila dokta atakwambia madhara na faida wachache mno huwa wazi
Tatizo wabishi akili fupi, na ile urahisi wa kutega mkono wakachomwa, wanaume wenyewe hawa!! 😅😅😅 wao hawatumii hayo mavitu unachoma mstareheke starehe yenyewe hamuili, ukikosa mtoto ndo akuonyeshe rangi zote!
 
Withdrawal ndio njia bora ya uzazi, bahati mbaya sio me wote wanaiweza.
 
Tatizo wabishi akili fupi, na ile urahisi wa kutega mkono wakachomwa, wanaume wenyewe hawa!! 😅😅😅 wao hawatumii hayo mavitu unachoma mstareheke starehe yenyewe hamuili, ukikosa mtoto ndo akuonyeshe rangi zote!
yaani ni mtihani kwa kweli
 
nna shost yangu hii njia amedumu nayo miaka mitano na aliwwka cha miaka kumi katoa juz anasema amechoka mumewe anakigusa
Wana magobole au wanakamia sana nisijue sasa kwanini hivyo mi kilikaa miaka takribani 7 nilikitoa kwa maamuzi(nilijipa likizo fupi ya manyamu manyamu) sio kwa kukerwa
 
Ukamleta junia bila kutaka🤣🤣, hapo mwenye changamoto ni Me, sio wote wanaweza. Nina 10+yrs na nashukuru sijawahi kuvurunda.
Aisee hongera, umekomaa kuweza kuhandle hiyo namna, kilinipata kitu kizito sana🤣wengine bado tuna roho ndogo kufanya abortion hatuwezi, kuna dogo juzi kimempata akaichomoa chap tu kama yupo kwenye menstrual, nilisikitika na nilimuona kumbe ni gaidi kuliko mimi naeonekana gaidi
 
Kipi bora, kulea mtoto asiye wako au kuletewa maradhi ya kudumu ndani?

Uzazi wa mpango ni mbinu za umalaya uliopo ndani ya ndoa.
 
Miaka 20 mmeshaweka vijiti vya kuzuia uzazi tayari, yaani mtoto mmoja tu mchaogopa kuzaa?

Hana hisia na wewe siyo ni kwa ajili ya huo uzazi wa mpango, hisia zake zote ziko kwa mtoto wake.
 
Kipi bora, kulea mtoto asiye wako au kuletewa maradhi ya kudumu ndani?

Uzazi wa mpango ni mbinu za umalaya uliopo ndani ya ndoa.

Wachache sana wameshtukia huu mchongo. Usimpe uzazi wa mpango mkeo, Kula mwaga nje. Uzazi wq mpango unamfanya ajiskie free kufanya na yeyote sababu anajua mimba hatopata.
 
Kumwaga nje mnavyoisema utafikiri ni jambo jepesi tu
Mkuu mimi nimeshindwa kabisa kumwagia nje 😂😂😂🤣 yaani nikikalibia mshindo akili inakua haipo kabisa

Wazungu wakiwa wanatoka ndio nasikia raha hatari na lile joto la k

Kumwagia nje kazi sana bwana
 
Back
Top Bottom