Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

Akionja dudu la nje tu umekwisha
Kwisha
Kwisha
Kwisha.
Ninadhani ashaikinai ndoa na huenda anagawa nje.
Kama issue ya uzazi wa mpango nunua chumvi ya mawe kila baada ya sex achukue jiwe moja aingize kunako. Haina maumivu wala madhara. Maku yake itaongezeka ladha na hisia atapata
Asee Duniani kuna mambo...😄😄
 
Wana magobole au wanakamia sana nisijue sasa kwanini hivyo mi kilikaa miaka takribani 7 nilikitoa kwa maamuzi(nilijipa likizo fupi ya manyamu manyamu) sio kwa kukerwa
ukijutahidi mwenzio niliweka kijiti kwa my fist born cha miaka mitatu kikanikataa ile natoa tu nacheza mimba hii ninalea mapacha wangu wanje na sa hii nimerudia hiko hiko kijiti huu n mwaka wa tano na hakijanisumbua hata chembe nawaza kikiisha nitumie nn sielewi
 
Kama hakikupi kero na masapta sapta yapo endelea na hicho hicho ukibadili inaweza kukukataa ukaanza kuwa km mke wa mtoa mada, baba chanja atatafuta pa kujiweka itakuwa kizaazaa tena
 
ntaweka hiko hiko uzuri sio lazima ni hiyari kutumia
 
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.

Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi kabisa maana imekuwa mpaka Sasa hatuwezi kushiriki vizuri maana hata nikihitaji kukutana nae yeye hana muda na mimi kulingana hata nikikutana nae haoneshi hata ile hali ya kuwa anahisi yupo na mimi.

Please nisaidieni
Zimekata kwako tu?
 
Uzazi wa mpango mwaya ni mzuri napia unajenga future yenu na watoto mlionao ila hizi vijiti au sindano ni mbaya sana kwani mtu anapata hedhi na kuchelewa kushika mimba jaribuni kama mtapata mtu wakienyeji awasaidie kufunga kizazi mkitaka kupata watoto anafungua . Sijasema ulichukilie serious . Hata dawa mtu anakunywa tu anapata hamu ya tendo mnagongana hadi basi
Kuna dawa ya kunywa ili mtu apate hamu??
 
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.

Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi kabisa maana imekuwa mpaka Sasa hatuwezi kushiriki vizuri maana hata nikihitaji kukutana nae yeye hana muda na mimi kulingana hata nikikutana nae haoneshi hata ile hali ya kuwa anahisi yupo na mimi.

Please nisaidieni
Mda wa kula bata wewe ndio unaoa, ukija kukumbuka bata na ndoa ndio inavunjikia hapo.
 
Huwa njia ya uzazi wa mpango salama ninayo pendekezaga ni billings ovulation methods, ya kutazama ute wa uzazi.
Kwa wengi sio rahisi kupima ule ute. Na siku ya 14-16 mke anakua na joto Kali so anavutia mno. Mwanaume inatakiwa ujicomit kweli kweli. Una soft copy ya kitabu chake?
 
kumwaga nje inahitaj uwe na roho ya ukatili,, ww unataka kuchomoa mwenzio ndio kuni zimepamba moto hasikii lolote na mideko kama yote ndio mda ambao anakaribia kileleni.
 
Dah. Pole sana jamaa ila uzazi wa mpango ni janga nitatoa shuhuda chache.
1. Mwaka 2012 nilikuwa na pisi yangu kali kweli tako la kuombea mkopo kwa kuwa alikuwa hajawa tayar kupata mtoto akaweka kijiti kilichotokea ni tako kunywea na Tumbo kuwa kubwa kama ana kitambi cha kiribatumbo na harufu mbaya kutoka puani 24hrs
2. Mshkaji wangu mkewe baada ya kujifungua akachoma sindano matokeo yake mke kubridi miezi miwili mfululizo na kufunga miezi sita bila kubrid matokeo yake akafanyiwa oparation kwan aligundulika na uvimbe tumbon.
3. Shemeji angu kila uzazi alotumia mara kichwa kuuma mwezi mzima mara kutapika mara kuhara lakn kimbembe akawa akibridi ni tone tu ndio hutoka mwisho wa siku nae uvimbe na kikampelekea kutolewa kizazi
4. Mwaka 2019 kuna binti alikuwa mfanyakazi wa kiwanda x cha nguo pale morogoro tulimzika kwa sababu ya uzazi wa mpango. Kwa ilivyoelezwa ni kwamba aliweka kijiti na mwisho wa siku kijiti kikatoka mkononi ikawa inatembea mwili mzima HAPA WATAALAM WATATUAMBIA KAMA INAWEZEKANA.

LAKINI JAMANI EE! kama mtu hajui kalenda na hawezi kutumia salama condom acha atumie uzazi.
maana nna jamaa angu hapa eti anatumia njia ya kienyeji kuwa akimaliza jigijigi anakunywa majivu au mafuta ya nyonyo😀😀😀 kilichompata ana watoto 5 wamepishana mwaka moja moja.
 
Kwa wengi sio rahisi kupima ule ute. Na siku ya 14-16 mke anakua na joto Kali so anavutia mno. Mwanaume inatakiwa ujicomit kweli kweli. Una soft copy ya kitabu chake?
Ninayo mkuu
 
Dah. Pole sana jamaa ila uzazi wa mpango ni janga nitatoa shuhuda chache.
1. Mwaka 2012 nilikuwa na pisi yangu kali kweli tako la kuombea mkopo kwa kuwa alikuwa hajawa tayar kupata mtoto akaweka kijiti kilichotokea ni tako kunywea na gumbo kuwa kubwa kama ana kitambi cha kiribatumbo na harufu mbaya kutoka puani 24hrs
2. Mshkaji wangu mkewe baada ya kujifungua akachoma sindano matokeo yake mke kubridi miezi miwili mfulizo na kufunga miezi sita bila kubrid matokeo yake akafanyiwa oparation kwan aligundulika na uvimbe tumbon.
3. Shemeji angu kila uzazi alotumia mara kichwa kuuma mwezi mzima mara kutapika mara kuhara lakn kimbembe akawa akibridi ni tone tu ndio hutoka mwisho wa siku nae uvimbe na kikampelekea kutolewa kizazi
4. Mwaka 2019 kuna binti alikuwa mfanyakazi wa kiwanda x cha nguo pale morogoro tulimzika kwa sababu ya uzazi wa mpango. Kwa ilivyoelezwa ni kwamba aliweka kijiti na mwisho wa siku kijiti kikatoka mkononi ikawa inatembea mwili mzima HAPA WATAALAM WATATUAMBIA KAMA INAWEZEKANA.

LAKINI NAMANI EE! kama mtu hajui kalenda na hawezi kutumia salama condom acha atumie uzazi.
maana nna jamaa angu hapa eti anatumia njia ya kienyeji kuwa akimaliza jigijigi anakunywa majivu au mafuta ya nyonyo😀😀😀 kilichompata ana watoto 5 wamepishana mwaka moja moja.
😂😂😂🤣🤣😁😁😁😂😂🤣🤣😂😁😁😁
 
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.

Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi kabisa maana imekuwa mpaka Sasa hatuwezi kushiriki vizuri maana hata nikihitaji kukutana nae yeye hana muda na mimi kulingana hata nikikutana nae haoneshi hata ile hali ya kuwa anahisi yupo na mimi.

Please nisaidieni
Angalia kijana unaweza ukawa unachapiwa wanawake wakihama ki Hisia huenda jumla
 
rythmic ni nn nieleweshe
Ni kumwaga nje. Ila ni muhimu mjadili na kukubaliana kutumia njia hii ili isizue taharuki pale inapopelekea kukatisha utamu. Mwanaume anapaswa kuwa na maamuzi thabiti kwenye hili kwani yeye anaadhiriwa azidi na pia ameshikilia mpini wa ufanisi wa njia hii.
 
Back
Top Bottom