Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

Sioni faida ya kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa tena wanandoa

Mpige mkeo siku zote, hizo siku 7 huwezi kuvumilia? Kama ukishindwa kumwaga chini nayo ni tabu?🤔
Kumwaga nje mnavyoisema utafikiri ni jambo jepesi tu
 
I was there na mke wangu wakati huo. So i understand yet haikuwa mara ya mwisho, yes naelewa kuna changamoto sasa kazi ni yake yeye na mke wake waongee… ndoa ni team work
 
Na sindano ni mchonganishi sana vinakata genye zote mwilini
 
tuseme mara ngapi ndio mtaelewa


KATAA KABISA NI UTAPELI

JOBTRUTRUE/kiaaaaaaazi kweli kweli
Kwa hapa umekurupuka na kampeni yenu iliyoisha nguvu ya kataa ndoa. Sasa hapa kosa la ndoa ni lipi hadi ushupaze shingo kuwa kataa ndoa na ndoa ni utapeli?

Muwe hata mnafikiriaga basi nyie vitoto vya 2000 kabla hamjapost au kucomment ushuzi wenu humu JF. Sisi wazee tunazidi kuona nyuchi za akili zenu namna mlivyo Vilaza.
 
I was there na mke wangu wakati huo. So i understand yet haikuwa mara ya mwisho, yes naelewa kuna changamoto sasa kazi ni yake yeye na mke wake waongee… ndoa ni team work
of course, wanatakiwa either akabadili njia hiyo na waangalie namna nyingine ya kujikinga na ujauzito usiotarajiwa
 
Ushauri wa mtu mlozi na wa aliyepagawa na mapepo huu. Inasikitisha kwa aina hii ya vijana wasio na faida ndani ya nchi yetu.
 
Kitanzi kinaongeza sana ashki watu hawajui tu, ndo hivyo ni risk kwenye kupata maambukizi ya magonjwa mengi mengiiii hasa ukiwa kitombi au kitombwimbwi
 
Huwa njia ya uzazi wa mpango salama ninayo pendekezaga ni billings ovulation methods, ya kutazama ute wa uzazi.
Sasa sio wanaume wote wanajua kuangalia ute huo
Ebu wape somo wasikae kizembe☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…