Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

Ila maku zina mambo jamani! Nina mpango wa kuandika kitabu kuhusu vituko vya maku zinavyo-run dunia
 
Duh! Sasa njia ipi ya kisasa yenye afadhali?
Sababu ile kitanzi wengine wanasema hawapokei mshahara matumbo yanawauma
ubaya hizi njia zinatofautiana kati ya mtu na mtu, mwengine hazimsumbui mwengine zinamsumbua ni kisanga kucheza kwa akili kunywa majivu mama
 
Duh! Sasa njia ipi ya kisasa yenye afadhali?
Sababu ile kitanzi wengine wanasema hawapokei mshahara matumbo yanawauma
Labda kiliwekwa vibaya ila kuna wanawake km 4 walikiri kinaongeza masapta sapta mi mwenyewe niliwekaga kipindi flani weeeeeee ni moutoo
 
Yeah ukimkuta dokta anaejua kazi yake anakataa kabisa hata mie alinikatalia na hakuwa ananijua basi alishukiwa roho ya huruma maana wengine alikuwa anawadunga ila kwangu alikataa,
na sijawah kutumia sindano kutokana nasakia zinakausha vyote nyege na uzazi, ila hizi njia hatuna namna sie tusioweza kunywa majivu n mwendo wa kujisweka tu vidude kuliko kupata mimba isiyokua na mipango
 
Tumia kalenda yake Kisha achana na uzazi wa mpango
 
na sijawah kutumia sindano kutokana nasakia zinakausha vyote nyege na uzazi, ila hizi njia hatuna namna sie tusioweza kunywa majivu n mwendo wa kujisweka tu vidude kuliko kupata mimba isiyokua na mipango
Sindano ipigwe marufuku ila huyu maza si hataki pipo wazae hawaezi kuizuia ila ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…