Mke wangu amekosa hisia na mimi baada ya kuweka uzazi wa mpango

Asee Duniani kuna mambo...πŸ˜„πŸ˜„
 
Wana magobole au wanakamia sana nisijue sasa kwanini hivyo mi kilikaa miaka takribani 7 nilikitoa kwa maamuzi(nilijipa likizo fupi ya manyamu manyamu) sio kwa kukerwa
ukijutahidi mwenzio niliweka kijiti kwa my fist born cha miaka mitatu kikanikataa ile natoa tu nacheza mimba hii ninalea mapacha wangu wanje na sa hii nimerudia hiko hiko kijiti huu n mwaka wa tano na hakijanisumbua hata chembe nawaza kikiisha nitumie nn sielewi
 
Kama hakikupi kero na masapta sapta yapo endelea na hicho hicho ukibadili inaweza kukukataa ukaanza kuwa km mke wa mtoa mada, baba chanja atatafuta pa kujiweka itakuwa kizaazaa tena
 
Kama hakikupi kero na masapta sapta yapo endelea na hicho hicho ukibadili inaweza kukukataa ukaanza kuwa km mke wa mtoa mada, baba chanja atatafuta pa kujiweka itakuwa kizaazaa tena
ntaweka hiko hiko uzuri sio lazima ni hiyari kutumia
 
Zimekata kwako tu?
 
Kuna dawa ya kunywa ili mtu apate hamu??
 
Mda wa kula bata wewe ndio unaoa, ukija kukumbuka bata na ndoa ndio inavunjikia hapo.
 
Huwa njia ya uzazi wa mpango salama ninayo pendekezaga ni billings ovulation methods, ya kutazama ute wa uzazi.
Kwa wengi sio rahisi kupima ule ute. Na siku ya 14-16 mke anakua na joto Kali so anavutia mno. Mwanaume inatakiwa ujicomit kweli kweli. Una soft copy ya kitabu chake?
 
kumwaga nje inahitaj uwe na roho ya ukatili,, ww unataka kuchomoa mwenzio ndio kuni zimepamba moto hasikii lolote na mideko kama yote ndio mda ambao anakaribia kileleni.
 
Dah. Pole sana jamaa ila uzazi wa mpango ni janga nitatoa shuhuda chache.
1. Mwaka 2012 nilikuwa na pisi yangu kali kweli tako la kuombea mkopo kwa kuwa alikuwa hajawa tayar kupata mtoto akaweka kijiti kilichotokea ni tako kunywea na Tumbo kuwa kubwa kama ana kitambi cha kiribatumbo na harufu mbaya kutoka puani 24hrs
2. Mshkaji wangu mkewe baada ya kujifungua akachoma sindano matokeo yake mke kubridi miezi miwili mfululizo na kufunga miezi sita bila kubrid matokeo yake akafanyiwa oparation kwan aligundulika na uvimbe tumbon.
3. Shemeji angu kila uzazi alotumia mara kichwa kuuma mwezi mzima mara kutapika mara kuhara lakn kimbembe akawa akibridi ni tone tu ndio hutoka mwisho wa siku nae uvimbe na kikampelekea kutolewa kizazi
4. Mwaka 2019 kuna binti alikuwa mfanyakazi wa kiwanda x cha nguo pale morogoro tulimzika kwa sababu ya uzazi wa mpango. Kwa ilivyoelezwa ni kwamba aliweka kijiti na mwisho wa siku kijiti kikatoka mkononi ikawa inatembea mwili mzima HAPA WATAALAM WATATUAMBIA KAMA INAWEZEKANA.

LAKINI JAMANI EE! kama mtu hajui kalenda na hawezi kutumia salama condom acha atumie uzazi.
maana nna jamaa angu hapa eti anatumia njia ya kienyeji kuwa akimaliza jigijigi anakunywa majivu au mafuta ya nyonyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kilichompata ana watoto 5 wamepishana mwaka moja moja.
 
Kwa wengi sio rahisi kupima ule ute. Na siku ya 14-16 mke anakua na joto Kali so anavutia mno. Mwanaume inatakiwa ujicomit kweli kweli. Una soft copy ya kitabu chake?
Ninayo mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Angalia kijana unaweza ukawa unachapiwa wanawake wakihama ki Hisia huenda jumla
 
rythmic ni nn nieleweshe
Ni kumwaga nje. Ila ni muhimu mjadili na kukubaliana kutumia njia hii ili isizue taharuki pale inapopelekea kukatisha utamu. Mwanaume anapaswa kuwa na maamuzi thabiti kwenye hili kwani yeye anaadhiriwa azidi na pia ameshikilia mpini wa ufanisi wa njia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…