Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Dem hakua kwa dada ake..ndomaana funguo hakuleta yeye.Mkuu mawasiliano na mke wako hamna unapokua mbali???.....maana kwa vyovyote ungejua alipo wakati mnawasiliana na sio kushtukizwa kutokuwepo Kwake
Mbali na hapo kama ni uoga mbona uliporudi hakuna yeye kukupa funguo??? Sio ajabu hakua hata kwa dada ake then hakurudi nyumbani siku hiyohiyo ameendelea Kua huko mpaka alipoona yeye ni wakati wa kurudi...... unataka usafiri anasema hataondoka kama mwanzo means alikua kozi ya kumsaidia kuondoa uoga kwa siku kadhaa hizo au??
Sibomoi nyumba yako ila kaa chini tafakari mkuu, Fanya maamuzi ambayo unaona hutajutia, maana akili za kuambiwa changanya na za kwako
Inabidi katumbuliweKajipu kalikoiva
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Baba wanawake wanawaza mbali sana, ulivosema utamchapa viboko vitano yeye anajua utaisulubu mbususu yake kwa goli tano!
mpeleke kunako sita kwa sita ukatafute bao tano baba arudii tena
Kumbe unaomba ushauri ila ni kama tyr una maamuz yko mkuuNashukuru kwa ushauri sasa akiondoka nani asimamie maendeleo nyumbani hiyo nichagamoto pia, nakuleta mke mgine naona itakua too much huyu ni watatu nikifikisha wanne jamii itaniona kama mimi ndomwenye tatizo
Ahsante mtumishi...Sawa nitakuombea usijali 🤩
Nakubaliana na wewe kamandaMkuu , kwa maelezo ya mtoa mada ni kwamba,
Baada ya kurudi safari, nyumbani hakumkuta mke wake , lakin alikuta gari yake na vitu vingine vyote vikiwa salama.
Pamoja na nyumba na mali vilivyomo inanonesha mke, havijali sana .. ndio maana kaamua kutoka na kwenda kwa dada yake ambaye mtoa mada anamuelezea kama ni daa mtu maisha ni mabovu na familia haijiwezi kivile...
Inawezekana kabisa mtoa mada anamatatizo yanayopelekea huyu mwanamke kuwa hivi,
Kitendo cha kumzalisha tu mwanamke na kumuweka ndani kama mlinzi wa nyumba hayo sio mapenzi...
Mtoa mada hana muda na mke wake wala familia inaonekana ana vipaumbele vyake vingine kama kazi, n.k
Covax Sikia ndugu zako wanakushauri hukuUmenena mama, upole ukizidi wanakuona bwege, inawezekana hata wanawake wawili wa mwanzo walimchezea sababu walimuona lofa tu, siafiki kuchapwa fimbo sio ubinadamu, lakini mkosaji lazima akoromewe ipasavyo sio kumlegezea sauti tena na adhabu juu, mfano hiyo ya talaka au kumrudisha kwa muda lazima moja litimie
Mwamba akifeli kutoa hata adhabu moja atanyanyasika sana, lakini asimpige, talaka ni bora kuliko kipigo
Kwanza mwanamke mwenyewe yuko tayari kwa talaka basi tu, inawezekanaje aache nyumba yake yenye nafasi akajibane kwenye kachumba na sebule kwa watu mwezi? Au kuna ndoa nyingine huko
Kuomba ushauri sio ujinga wewe acha ufala nchi inaomba ushauri sembuse mtu mmojaNdugu kwanza nikupe pole arafu, pili nikushangae kwa kupenda kuyaweka madhaifu ya mke wako mtandaoni sio jambo zuri, tatu nikuulize una 38 yrs, umeoa unafamilia umekuja kuomba ushauli ni public kwa kutegemea kupata majibu toka kwa watu tofauti tofauti wengine wana rika chini yako na hawana ata familia unategemea nini? Hapo anyway elewa ya kuwa familia ni taasisi kukwa na we ndo kiongozi yakupasa kubili changamoto za familia yako wewe mwenyewe sio mtu mwingine mfano umesema mke wangu means wako kwanini ukusema mke wetu amekubali viboko vitano ndo tujadiliane cha kufanya kwasababu ni mke wetu.
Mitandaoni sio sehemu ya jamiii?Wazazi, wafundisheni watoto wenu wa kiume namna ya kuweza kujisimamia kimaamuzi. Mkeo kakukosea, unakuja kuomba ushauri mtandaoni!? Na mpaka hapo kama ulikuwa hujui, huyo mwanamke anakuzidi uwezo wa kufikiri na Anakuweza.
Amna aliyesema ndoa za sikuhizi ni mchosho..labda wewe uliyesema utuambie.Mnaposemaga ndoa za siku hizi michosho mna maana za zamani zilikuwaje?