Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Mkuu mawasiliano na mke wako hamna unapokua mbali???.....maana kwa vyovyote ungejua alipo wakati mnawasiliana na sio kushtukizwa kutokuwepo Kwake
Mbali na hapo kama ni uoga mbona uliporudi hakuna yeye kukupa funguo??? Sio ajabu hakua hata kwa dada ake then hakurudi nyumbani siku hiyohiyo ameendelea Kua huko mpaka alipoona yeye ni wakati wa kurudi...... unataka usafiri anasema hataondoka kama mwanzo means alikua kozi ya kumsaidia kuondoa uoga kwa siku kadhaa hizo au??
Sibomoi nyumba yako ila kaa chini tafakari mkuu, Fanya maamuzi ambayo unaona hutajutia, maana akili za kuambiwa changanya na za kwako