Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Mkuu safari zangu ni sehemu ya kazi yangu hizo posho na zopata kwenye hizo safari ndo zime tuwezesha k tuishi hapa mjini bila shida
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa kileo ni changamoto. Maadam ana kimbumbu kinachokupa ladha ya maisha, funika kombe mwanaharamu apite.
 
Yaani nimecheka..kwakweli sijachapwa na mtu!kisa?yaan huyo mwanamke kamfanya kama mlinzi tu😒
 
Umesema mke wako na miaka 34 ila unavyomuelezea mambo yake ni kama vile binti wa miaka 24.
Halafu unashangaa ujanja ujanja na uongo kwa aliekulia mjini kinondoni?
Na mimi nashangaa paka leo huyu mama miaka 34 mbona hakuwi.
 
Mkuu safari zangu ni sehemu ya kazi yangu hizo posho na zopata kwenye hizo safari ndo zime tuwezesha k tuishi hapa mjini bila shida
Mkuu usimchape.ni mtu mzima huyo
Mkalishe tena mpe last warning.mwambie yeye ni MTU mzima,pia ni mke wa mtu zaidi ni mama Na familia yake..matendo yote atakayofanya awe anafikiria hizi tittle zake kwanza.
Hata kama anapapenda kwao na kujiskia more comfortable kuishi kwao.akumbuke alishaolewa na kuachana na kwao.ana kwake anapohitajika kupatunza na kupalinda.basi kama anaogopa kuishi peke ake ikiwa haupo aite hata ndugu mmoja aje aishi nae.ukirudi ataondoka.
Waza kaacha nyumba mwezi mzima na Giza usiku mnene vibaka wakavunja na kuingia ndani wakaiba.gari likanyofolewa vifaa.hasara ya nani?
MPE semina huyo mkeo.akili zake bado.
 
Nilivoelewa yeye anataka umkule mabao matano kitu ambacho ni enjoyment na ni njia rahisi ya kusameheana.
We mkule tu mkuu, katikati ya safari unajikuta hasaira zimeisha unabaki inaenjoy matunda ya mzeituni wako.
Kazi njema.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bado nafikir yeye na dada ake wanajua wenyewe "ALIKUA WAPI"....

nafikiri kwenye hiyo mitatu ,OngeZa iwe 6 ama 12 akakae alipokua ,akichoka atarudi.

Bado najiuliza ALIKUA WAPI....[emoji848]
Mkuu tatizo ana nyonyesha mtoto na kwao naona hawako vuzuri kabisa ukisema aende kwa Dada ake ana panga tu chuba na sembule.......
 
Pole sana, ndugu. Ila jipe moyo. Maisha ya ndoa kwa ujumla sio "lelemama," Ungesikia ushuhuda wa kila aliyeoa, ungeshangaa sana kusikia mambo magumu wanayoyapitia watu katika ndoa zao. Na pengine ungeona hayo ya kwako "ni cha mtoto." Inaonekana wewe ni mtu mwema sana, tena mvumilivu. Kwa sababu hiyo nakushauri usimchape viboko mke wako. Mke sio sawa na mbwa koko. Msamehe bure tu na umuombe Mungu akusaidie kumpenda siku zote.

Maandiko matakatifu yanasema: "Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya..."(1 Kor 13:4-7).
Hapo kwenye neno "upendo" weka jina lako. Kwa mfano kama unaitwa Ibra, soma tena hicho kifungu kwa kuanza na "Ibra huvumilia, hufadhili...Ibra hahesabu mabaya..." Nakwambia utaona jinsi upendo utakavyoifanya ndoa yako izidi kuwa imara.

Halafu, jiulize pia: wewe hukosei? Wewe husemi uongo? Kama unafanya makosa kama hayo hayo, kwanini mkeo akikosea unajaa hasira? Yeye naye ni mwanadamu. Wanadamu kwa ujumla ni wenye dhambi. Ndio sababu Yesu alikuja kutuokoa ili tuweze kushinda dhambi na kuweza kuishi maisha matakatifu.
 
Sawa mkuu nashukuru, ila nilishawahi kumkalisha mara nyingi aelewi anarudia kosa lilelile unalo mwambia, kuchapa mtu mzima sipendelee ila sioni adhabu mbadala.
 
😂😂 Dunia ina mambo hii!!! Huyo alikuwa analiwa tu mtaani. Hilo ni kunguru halifugiki. Achana nalo. Kama ni mtoto tuma matumizi
 
[emoji23][emoji23] Dunia ina mambo hii!!! Huyo alikuwa analiwa tu mtaani. Hilo ni kunguru halifugiki. Achana nalo. Kama ni mtoto tuma matumizi
Kabisa kuna mwamba atakuwa anamla hadi kumfukunyua mtr itakuwa
Hapo jamaa ampige chini tu
Kama anataka ampime marnda pia kama bado yako fit

Ova
 
[emoji23][emoji23] Dunia ina mambo hii!!! Huyo alikuwa analiwa tu mtaani. Hilo ni kunguru halifugiki. Achana nalo. Kama ni mtoto tuma matumizi
Mkuu kuliwa sina ushahidi wowote ila chagamoto iliopo nikimtoa ntamuacha nani nyumbani kwasasa, kuoa tena nahofu kubwa sinaga bahati ya wanawake wote napataga vibomu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…