Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Amka huyo demu ana mwanaume mwingine na ndio anaishi nae. Halafu kama mkeo hana kazi kwa nini usimuamishie huko uliko? Atakuja kuzaa mtoto si wako na ndipo akili itakukaa sawa
 
Easy mkuu
Muwekee aina mbali mbali za mifugo hapo nyumbani atakuwa na majukumu maana ni kama hana ch kumuweka busy huyo
Na kila siku utamkuta jioni kalala amechoka na shughuli
Mkuu mke wangu nikimeo hawezi, atakusafisha mazingira ya nje kwa kulima majani hawezi paka na tafuta mtu wakulipwa, sembuse kumwekea mifugo tena itakufa yote yule ni aina ya mwana mke kazaliwa Town kasomea Town kuolewa Town na atafiya Town hajawahi tembelea mkoani na hajawahi kufanya kazi yoyote hata hana utashi wakufanya kazi.
 
Kwa kifupi mke wako anachepuka.

Wewe kutokua na ushahidi ina maana anafanya mambo yake Smartly sana.

Lakini na wewe sio Smart kwenye suala la familia na mahusiano. Ndio maana matokeo ya uchaguzi wako pia sio sahihi.

Pia kama ni kweli basi hata bargain Power yako sio kubwa pia. Ndio maana kwenye ku settle mgogoro wako umekaa uka bargain jambo lisilo na maana(viboko). Come on man, unawezaje kupendekeza kutoa adhabu ya viboko kwa mkeo???🙄🙄, mimi naona kama mzaha hivi.

Kwa kifupi huyo mke anajua udhaifu wako vizuri na anautumia vizuri.


KUWA NA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
 
Mkuu ninge toa adhabu gani mbali na ya kumrudisha makwao
 
Umenena mama, upole ukizidi wanakuona bwege, inawezekana hata wanawake wawili wa mwanzo walimchezea sababu walimuona lofa tu, siafiki kuchapwa fimbo sio ubinadamu, lakini mkosaji lazima akoromewe ipasavyo sio kumlegezea sauti tena na adhabu juu, mfano hiyo ya talaka au kumrudisha kwa muda lazima moja litimie

Mwamba akifeli kutoa hata adhabu moja atanyanyasika sana, lakini asimpige, talaka ni bora kuliko kipigo

Kwanza mwanamke mwenyewe yuko tayari kwa talaka basi tu, inawezekanaje aache nyumba yake yenye nafasi akajibane kwenye kachumba na sebule kwa watu mwezi? Au kuna ndoa nyingine huko
 
hapo kazi kweli kweli mkuu
 
Kwa comment yako hii nimegundua mkeo ana udhaifu wake ila wewe una una udhaifu zaidi ya mkeo yaani akili yako ishamchukulia hawezi kufanya kitu chochote kisa kazaliwa Town una mawazo ya ajabu sana kusaliwa mjini hakuendani na kutokufanya kazi huyo Mwanamke umemlea kiyai yai ndo maana kaacha nyumba yake kwa kukudanganya eti anaogopa .Simama kama Mwanaume kwenye Familia yako.
 
Sio kwamba nimemlea kiyai kama unavo sema, huyu mwana mke nilishawahi kumfungulia duka la stationery worthy 8m ila lili mshinda tukalifunga, na mtaji ukafa nika mnunulia machine ya selcom ili afanye malipo pale kibandani paka sasa hivi ipo hiyo mashine, nikampa jukumu la kusimamia daladala likamshinda paka nilivo iuza...... sasa jamani nimfanyie nini ili aonekane kwamba anaweza? Yule ni hasara tu ila tu watu amtaki kukubali nikimtalaka tu kwasasa atashauriwa na ndgu na jamaa aende mahakamani huo mda sina wamahakamani kazi zitakufa duh.
 


Huyu mtoa mada anaweza kuwa analeta stori za kubumba, inawezekana vipi mke akufiche msiba wa mama mkwe bila sababu? Angekwambia ingekuwaje? Halafu inawezekanaje anasikia taarifa juu juu anakwea pipa kwenda msibani? Halafu kufika huko eti haonani na mkewe kwa sababu ana hasira, hizo hasira zilianzia msibani? Kwanini zisianze kabla hajapewa taarifa ili agome kwenda mazishini?

Katika huu uzi wa leo anasema mke amekaa kwa dada yake mwezi mzima, mbona kama nalo linanitia mashaka?
 
Wewe ni muongo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…