Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Yani wewe akili yako ya upelelezi ni 0.... Ilitakiwa utengeneze full picture ambayo hawezi ruka ikiezekana hadi umwite mshikaji na aje then unamwaga huyo mwanamke mazima.. umeharibu ushahd yani
 
Shida sio kusamehe mkuu, shida atatulia baada ya kusamehewa, huyo emma anaonekana anaujua udhaifu wa huyo demu kutokana na jinsi anavyofunguka kwenye sms, demu ashakuwa maharage ya mbeya kwa emma, jamaa ashamzoea demu ndo maana ana confidence ya kuomba mzgo kirahisi
Ndo maana tunashauriwa kabla hatujapata wenzi wa maisha inatakiwa tuchague kwa umakini sana Ili akiwa na tabia mbovu ujue hayo ni matokeo ya uchaguzi wako so you pay the consequences.
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Jamani hizi stress za kujitakia. Mbususu hapa duniani tuna share jameniiii. Usiumize kichwa wee fukuza, chukua pisi kali nyingine tulia nao.
 
Kwanza we ni jinsia gani? Tuanzie hapo, jibu kama ni Mwanaume basi achana na huyo mkeo ila kama we ni KE ua jinsia yoyote nje ya ME endelea kuishi na huyo mwanamke
 
Kwani wewe ulimwoa akiwa bikra? Kama hakuwa Bikra usipoteze muda,unachopaswa kumwambia tayari wewe ni mke wangu,achana na hao uliokuwa nao kabla sijakuoa.Kumbuka hata wewe kabla ya kumuoa umetembea na wanawake wangapi?
Balance na fair!
 
Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.

Uamzi ni wako mkuu.
Udhaifu
 
Mbona simple, tafta mdada pisi Kali mpe namba ya jamàa, wawasilianee, kisha waamuanapo kukutana nawe jitokezeee, ukiwa apoo mwite na mkeeeoo mwongeee, hahaa pisi Kali kuliko mkeeoo
Wacha motoo uwakeee
 
Huyu mke wangu ajae japo nilimkuta hajawahi banduliwa, hua sitaki kabisa kushika sim yake na hua nakasirika sana akinisogelea kunionyesha kitu kwenye sim yake hasa videos za tiktok. Yeye yangu kashaifanya kama yake hua namwambia kimoyo moyo 'shauri yako'
 
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room
Binafsi Mwanamke akiwa tu na kiburi, Jeuri, hasikiiii au wale wa kila kitu mabishano huwa naacha siku hio hio,,,,na sijawai fikiri ni uamuzi Mgumu kuacha Mwanamke.....

Wewe Mkeo analiwa nje,,na umejiridhisha kabisa... KUMUACHA ndio the only option ambayo ni sahihi,,,, BUT unaweza kumsamehe pia kutokana na Imani yako,,namna mnavyoishi na kiwango chako cha Uvumilivu.

Tunaweza kukushauri UMUACHE halafu ukashindwa ku-handle stress baada ya kumuacha ukaishia Kujinyonga,,sonona,presha n.k...kumbuka: (Kuacha ni kwa Wanaume timamu na waliokomaa ki-Maamuzi tu,,Weak men don't try this at home)

Mwisho kabisa,, Ile Sauti uisikiayo ndani ya Moyo wako ndio inaitwa UKWELI,,,,hivyo basi Lolote utakaloamua kwa kusikiliza hio sauti litakuwa ni sahihi LAKINI kuachana nae huyo Mwanamke ni sahihi zaidi...

Be a Man, Stay Taliban.
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
kwa namna yoyote ile muache huyo mwanamke kuepusha mambo ya kuuana
 
Nalifanyia kazi bila kukurupuka kbs kamanda na hili ndilo nalifikiria kuliko yote kumpiga chini tu...
Msamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.
 
Usipooa bikra ujue umeliwa, hujui ameshapita kwa wanaume wangapi?..yaani nikianza kufikiria jinsi wadau wanavyosimamia ukucha unajikuta unahairisha kuoa.
Bikra zipo za tomato sauce na sriracha.tulia wewe
 
Back
Top Bottom