Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana tunashauriwa kabla hatujapata wenzi wa maisha inatakiwa tuchague kwa umakini sana Ili akiwa na tabia mbovu ujue hayo ni matokeo ya uchaguzi wako so you pay the consequences.Shida sio kusamehe mkuu, shida atatulia baada ya kusamehewa, huyo emma anaonekana anaujua udhaifu wa huyo demu kutokana na jinsi anavyofunguka kwenye sms, demu ashakuwa maharage ya mbeya kwa emma, jamaa ashamzoea demu ndo maana ana confidence ya kuomba mzgo kirahisi
Jamani hizi stress za kujitakia. Mbususu hapa duniani tuna share jameniiii. Usiumize kichwa wee fukuza, chukua pisi kali nyingine tulia nao.Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Akiamua kugawa atagawa tu, ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akiliSawa ila huyo hakuwa mke wa mtu alikuwa kahaba tu. Je wewe unataka kutwambia uko tayari kugongewa?
UdhaifuWapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.
Uamzi ni wako mkuu.
Mimba sio yako mkuu,lete mrejesho badaeNdo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Binafsi Mwanamke akiwa tu na kiburi, Jeuri, hasikiiii au wale wa kila kitu mabishano huwa naacha siku hio hio,,,,na sijawai fikiri ni uamuzi Mgumu kuacha Mwanamke.....Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room
kwa namna yoyote ile muache huyo mwanamke kuepusha mambo ya kuuanaWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Msamehe. Inawezekana Yule Jamaa ndio huwa anajitongozesha Kwa mkeo. Fanya utafiti japo ni kazi ngumu kama hajawahi kutembea nae tangu awe na wewe acha Hilo lipite. Sio kila pambano lazima uwe mshindi.Nalifanyia kazi bila kukurupuka kbs kamanda na hili ndilo nalifikiria kuliko yote kumpiga chini tu...
Bikra zipo za tomato sauce na sriracha.tulia weweUsipooa bikra ujue umeliwa, hujui ameshapita kwa wanaume wangapi?..yaani nikianza kufikiria jinsi wadau wanavyosimamia ukucha unajikuta unahairisha kuoa.
Utumwa wenye Uhuru,,, ni ukoloni usiotawala...Nadhani mpaka sasa ninaona ni sahihi nmetoa process ya ndoa kwenye mlolongo wa maisha yangu