Ndomaana mwanzoni nilisema jamaa alikosea kupanick mapema kwenda kumuuliza mke wake afu akamuacha bula kufikia muafaka, hii itampa fursa ya kujipanga na kumnyima yeye fursa ya kuujua ukweli.
Alipopata nafasi ya kuchati ningekuwa mimi, aliposema kamiss mambo ya mke wangu ningemuuliza swali moja tu ili nijue kama alitembea nae nikiwa nae kwenye ndoa au zamani.
"Emma kama kweli umenimiss na hauwezi kusahau mambo yangu,nambie tumesex lini mara ya mwisho tuone kama unanikumbuka kiasi hicho"[emoji23]
Hapo jamaa angapata jibu ambalo lingemtuliza au kumpandisha na presha, mara jamaa anasema JANA[emoji1].
Kwasasa hawezi kujua kitu kwasababu alipanick kijinga na kumpa mke wake nafasi ya kusawazisha.