Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

😬😬😬 Tena wajamaa ambao wanajua demu ake alishaolewa huwa wakiwapata tena huwa si kuwatia dole tu hata kifiro kitatokea maana hawanaga cha kupoteza kbs maana anajua ni mke wa mtu na unakuta mkeo ananogewa kabisa.
yaniiiii
 
Akiamua kugawa atagawa tu, ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili
Sawa mwamba ila sasa wajifiche basi sasa jitu linagawa kisha hata kujificha anashindwa, hakuna mwanaume anaekubali kugongewa japokuwa haizuiliki kwa 100%.
 
😅😅sawa chief meufyata
Ndio tulia kabisa yaani haya mambo hayahitaji demokrasia nakupiga tofali mapema tu mimi huwa sina masiala na mwanamke msaliti, eti nitomb..ewe mke halafu mje mlete siasa hilo suala halipo aisee, kwanza mwanamke akishakuwa msaliti ni rahisi sana mwanaume kufikisika/kuyumba kiuchumi fukuza mbwa hao.
 
Hehehehe...we unajazwa upepo humu shauri yako[emoji848]
anajazwa upepo au ndo ukweli mtupu, mi ninathibitisha ilo ,anakutana na mabaharia wanamyonya kicme na kinyeo kama hawana akili nzuri , mi mwenyewe nikila mke wa mtu lazima aweze nitofautishe na mumewe, alafu uwa siwatafuti tena mpaka waniyafute wenyewe na wananitafuta tunapashana
 
Case ni ngumu ila kwa kuwa hujamuoa, msamehe tu.
Nini maana ya ndoa? Watu wameishi zaidi ya miaka miwili bado mnaita sio ndoa? Kiserikali miezi sita tu mkishaachana anaingia mpaka kwenye mgao wa mali!.

Nimegundua wanawake kugegedwa nje mnachukulia simple sana. Pia kwenu harusi ni ya muhimu sana kuliko ndoa na hamuwezi kutofautisha harusi ni nini na ndoa ni nini!.

Piga chini mzee haiwezekani mtu uwe naye kwa miaka miwili ndani halafu bado anawasiliana na maex wake tena mawasiliano ya kuombana mbususu.
 
Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.

Uamzi ni wako mkuu.
Vaa viatu vya jamaa hapa!

Mkeo unakuta chatting zake usizozielewa unambana anakosa jibu yeye mwenyewe anasema piga hiyo # unaipiga kisha anakwambia tena usipige na unapiga anakataa kuzungumza na muhusika bado unataka amsamehe?
 
Wakuu hebu tuangalìe pia upande wa pili kwa umakini. Je tunawapekea moto vizuri wake zetu? Isijekuwa tu wazembe kisha tunalalamika kumbe sisi wenyewe kimoja tu chali!
 
Kwamba unachochea mgawanyiko wa familia sio yapo mambo yakuyachukulia serious na sio kisa simu ukose maamuzi kumkichwa uanze kutapa la kufanya alaa
Wewe hujuwi uchungu wa kutomb..ewa, kwenye hili suala tuacheni wanaume sisi ndio wahanga wa hili suala mwanamke akishagongwa nje huyo ni sawa na nyoka ameingia kwenye nyumba yako na nyoka akishaingia ndani ya nyumba dawa yake ni kumfanya atoke nje au kumuuwa, mwanamke kwenye usaliti sio kiumbe wa kumuonea huruma na kumsamehe, mwanamke ni zaidi ya shetani.
 
Kwamba unachochea mgawanyiko wa familia sio yapo mambo yakuyachukulia serious na sio kisa simu ukose maamuzi kumkichwa uanze kutapa la kufanya alaa
Kwa hiyo kwako wewe huyo malaya kuvuliwa chupi na kimada siyo habari habari ni kuendelea kung’ang’ania hiyo mbuzi kwa sababu ya so called familia?

Unajua nini kuhusu familia wewe kiasi kutaka kumng’ang‘aniza mwanaume na hiyo takataka isiyojitambua?uthibitisho 100% kwamba alifanya umalaya upo ila unataka kutia tia huruma kwamba halikuwa kosa em toka hapa nenda katafute chupi zako chafu ufue tuache wanaume tujadili kwa mapana ujinga wenu mnaouendekeza.!!!
 
Wewe hujuwi uchungu wa kutomb..ewa, kwenye hili suala tuacheni wanaume sisi ndio wahanga wa hili suala mwanamke akishagongwa nje huyo ni sawa na nyoka ameingia kwenye nyumba yako na nyoka akishaingia ndani ya nyumba dawa yake ni kumfanya atoke nje au kumuuwa, mwanamke kwenye usaliti sio kiumbe wa kumuonea huruma na kumsamehe, mwanamke ni zaid ya shetani.
Mkuu kama unampenda mke wako hata ukimfumania usije ukachukua maamzi ya Kumuacha unaweza kujuta
Mtu mmoja alimfumania mkewe mgoni wake akakimbia akamchukua mkewe akamapeleka polisi kilichofuata mkewe siku hiyohiyo aligongwa na polisi wa zamu
Haya masuala ya mahusiano usije ukayatolea maamz ya emotions badala yake tumia akili na unapotumia akili usiombe ushauri wa mtu anaweza kukupoteza
 
Wakuu hebu tuangalìe pia upande wa pili kwa umakini. Je tunawapekea moto vizuri wake zetu? Isijekuwa tu wazembe kisha tunalalamika kumbe sisi wenyewe kimoja tu chali!
Usije hata mara moja ukataka kumfurahisha mwanamke hao kenge wana maamuzi ya kiwendawazimu acha!

Wewe mpe hela mpe muda wako nyoosha mpini unavyonyoosha but linapokuja suala la nature acha litawale utakufa siku si zako,hao wameumbwa wasaliti hakukusaliti kingono ataku-snitch kwa ndugu zako/zake,hakuku-snitch atakuletea kelele alimradi hao viumbe hawana utulivu wa nafsi na kwa gear wanayoenda nayo watakuwa ma-single mama mpaka wakome.
 
Ndomaana mwanzoni nilisema jamaa alikosea kupanick mapema kwenda kumuuliza mke wake afu akamuacha bula kufikia muafaka, hii itampa fursa ya kujipanga na kumnyima yeye fursa ya kuujua ukweli.

Alipopata nafasi ya kuchati ningekuwa mimi, aliposema kamiss mambo ya mke wangu ningemuuliza swali moja tu ili nijue kama alitembea nae nikiwa nae kwenye ndoa au zamani.


"Emma kama kweli umenimiss na hauwezi kusahau mambo yangu,nambie tumesex lini mara ya mwisho tuone kama unanikumbuka kiasi hicho"[emoji23]

Hapo jamaa angapata jibu ambalo lingemtuliza au kumpandisha na presha, mara jamaa anasema JANA[emoji1].

Kwasasa hawezi kujua kitu kwasababu alipanick kijinga na kumpa mke wake nafasi ya kusawazisha.
Mkuu sikutegemea kupata jibu kama hilo. Japokuwa nimecheka sana hapo endapo jamaa angejibu "JANA" naona kabisa zile risasi 7 angejipiga mwenyewe akamuacha mwanamke. Kweli unaweza akazima mazima.
 
Hii ni part 2
 
Mkuu kama unampenda mke wako hata ukimfumania usije ukachukua maamzi ya Kumuacha unaweza kujuta
Mtu mmoja alimfumania mkewe mgoni wake akakimbia akamchukua mkewe akamapeleka polisi kilichofuata mkewe siku hiyohiyo aligongwa na polisi wa zamu
Haya masuala ya mahusiano usije ukayatolea maamz ya emotions badala yake tumia akili na unapotumia akili usiombe ushauri wa mtu anaweza kukupoteza
Sasa bro mbona unaongea nonsense huyo jamaa yako hakuowa mke huyo aliowa changudoa how come apelekwe polisi kwa kukamatwa uzinzi usiku huo huo yaani chini ya 24hrs agawe tena nyapu yaani chini ya saa 24 ameshachomekwa nyama ngumu mbili tofauti tofauti so kabisa kabisa unataka umma hapa useme huyo nae alimpenda sana huyo mwanamke?

Huyo alikuwa pimbi siyo mwanaume!
 
Back
Top Bottom