Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Kutakuwa na kikao cha wanaume siku ya jumamosi saa tisa alasiri, tafadhali wasilisha hoja yako kikaoni.

Watakaoshindwa kufika watumie zoom kwa address hii..
 
Kwakuwa majibu hayaridhishi
Ingekua ni mimi nisingekua na la ziada nae baada ya kuhakikisha simu yake ninayo, natimua wala sifikirii mara mbili
Maisha yaniwazishe na mwanamke anisumbue,

Wakorintho 7:27-28
 
Mkuu umeangalia vizuri kweli hayo makalio ni yako ?
Maana wanaume wote tunafanana makalio ... Ni machafu yana ukurutu hayapakwi mafuta.
 
Ameyatamani
 
Siku jifanye umekosea njia ndipo utajua matumizi ya hizo picha.
 
Kwa hiyo unalalaga matako wazi?
 
Huku mnapost usen****** ngoja nizame love connect nikatafute goma mie..
 
daah wallah jf ni kisima cha burudani
 
Wewe ndiye mwenye makosa mkuu,kuna sheria ya usiri yaani sheria inayomlinda mtu kuwa na siri zake binafsi,hata kama ni mkeo au mtoto wako,mama yako,baba yako,mume wako huna haki ya kuchunguza siri zake.akijua unafanya hivyo na kama ushahdi anao anaweza kukufikisha ktk dawati la jinsia adhabu yake ni miezi 6 gerezani au faini isiyopungua milioni mbili au vyote kwa pamoja.. Kaa kmy subiri siku akizisambaza, wewe ndo utakuwa na haki ya kumhoji,kumfkisha mahakamani kwa hatua stahk za kisheria.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 aloo ulalaji gani uo adi ufunuliwe hustuki. Pole sana, mkalishe kwa busara umuulize lengo hasa za picha za kufedhehesha hivyo lilikuwa ni lipi?
Alikuwa anamfanyia assessment kama ana marinda, unajua wanawake wanaogopeshwa sana zama hizi, kuwa kuna waume za watu wanapelekewa moto.

Amuulize tu kistaarabu. Pia inawezekana mke ana matatizo ya kisaikolojia ya kupenda picha za uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…