Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Muibie hiyo simu…Alafu na wewe ukilala ulale na hata kaboksa…Kuna ajali kiongozi.
 
Na sisitiza tena "ndoa ni kwa watu wenye akili tu" halafu kabla ya ndoa kuwe na kipimo cha utimamu wa akili.
 
Yani Mwanaume unalala Matako Njee kweli au kama amakuvua Boxer hushtuki.

Si utapigwa pipe siku na usisikie
 
Unalala uchi,

Siwez lala uchi ata niwe mwanamke , nitavua wakT wa kula na kuvaa nikmalz kula
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Ndio maana huwa tunawatombea wake zenu, hamna akili nyote
 
Anahakikisha kama bado usalama upo au laah....maana wanaume wa sasa hiv ni changamoto
 
Kuna msela anampenda yeye na wewe bwana ake

Kukutongoza kidogo changu
Hiki najitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha
Eti unasema una bahasha wako
Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana ako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Ooh jamni kudadeki nakupenda wewe
Na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Oya we (oya we)

View: https://youtu.be/I590Q-MH0vQ?si=OcGpfAXbOPtoLU6z
 
Back
Top Bottom