Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

Mkeo ana akili ndogo sana.
Muonyeshe msimamo soon atajifanyia atakavyo
 
Huenda amepata mchepuko ambaye hafurahishwi na hizo nywele. Hivyo amelazimika kuheshimu matakwa ya Mchepuko .
 
Sikujuaga kuwa una AKILI KUBWA hivi
 
Mkeo vile umeshamuoa anaona kamaliza kazi haitaji Tena kuwa smart, au ukute ana mimba na akizaa jiandae kujiachia kwake rafu, kunenepa Hadi utafte mchepuko. No wanawake wachache huendelea kujipenda baada ya ndoa, maana ndoa huamini wamefika mwisho.
Bibie
 
Vitu vya kudharau vya wenzi wetu hufanya mapenzi kufa licha ya kupewa papuchi ila vitu tunavo ignore ndo huua mapenzi
Watu wengi hawajui kuwa kabla mwanaume hajataka papa huwa kuna vitu vimetangulia kumvutia.
Huwa hatuparamii kila mwanamke isipokuwa aliyekuvutia
 
Sasa mtu upo ndani ya ndoa, ujisumbue iweje? Karibu chamani dea, ndoa tamu na chungu vile vile, tunapambana tyuuh.
Nyie ndio mnasababisha wanaume kuwa machokoraa kusaka papa mpya...tunza mvuto umtulize mumeo
 
Nimestuka kusikitia umesikitika mkeo kunyoa nywele nikatengeneza picha kwenye dunia yangu😄😄😄. Ila ndg sio poa kumfanya mkeo Kama kitu flani kisicho na maamuzi hata ya mwili wake pia nimependa jibu la mke kwa kukupa pole Kama umependa nywele
 
Kwani nyie wengine mlijipenyezaje hadi mkaoa[emoji2297][emoji2297]
 
Acha uchochezi we mtoto!!
 
Reactions: BAK
Get a grip of your feelings...na jua ndoa sio lelemama..I tell you this ..kama upo sensitive hiyo ndoa miaka mitano haifiki...mwaka mmoja una catch feelings mkeo kunyoa .serious?..watakupola uyo mwanamke ushangae..maana apo saiz Kuna Wana ma office husband wamemletea zawadi kabisa kwa alivyo pendeza Zaid ....wew mumewe unamfungukia umeumia...watakukazia soon na unaonekana Mtu wa kukechi Sana kijana....


 
Sikuwa nazipenda ,. Nikamuambia anyoe kama anataka kuwa nami.
 
Ujue nakaribia kuwa mkubwa nianze kufaidi kama wakubwa. Nimesoma humu mara nyingi tu wakubwa wanafaidi. [emoji12]
Subiri kwanza ukue mkubwa ndio utafaidi. Kwasasa uache uchochezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…