Mke wangu amepewa taarifa zangu na mtandao wa simu. Kisheria imekaaje?

Kafungue kesi aliyempatia print out atajulikana tuu
 
Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Ah ah ka-procces kesi ili ulipwe na kampuni na huyo aliyempa taarifa atiwe njaa ujipoze na machungu maana inaonekana humo ndani ya kampuni kuna bwana wa mkeo anayetaka kukuvurugia ili mkeo apate nafasi ya kukuacha yeye ale nae maisha.
 
Huyo ana shoga yake customer care
 
Ndiyo kama anatumia smartphone na mke ana access na hiyo simu ni rahisi kudukua na usalama/uangalizi wa simcard pamoja na simu ni mteja si kampuni ya simu.
Au itakua mkewe aliinstal trojan horse kwenye simu yake bila kujua😄
 
Hana haki kisheria,iwe ni hiyo kampuni iliyovujisha taarifa zako, au iwe ni yeye mwenyewe kafanya udukuzi.Na kama ukifungua mashtaka lazima wakutwe na hatia...
 
Inawezekana. Naitoaje hiyo kama ni kweli
Kama ujuavyo kuna mtambo wa pegasus wa israel, mahali, ulitumika sana enzi za chuma,, pengine kuna njema inafanya huko, inampa feedback😁
 
Ukiwa mjanja hiyo print out unapata Tena siku Moja tu inategemea umeenda na sababu Gani!.
Mimi nimewahi kujaribu hayo.
 
Opinion yangu Kama CPA (T) Mimi sio lawyer
-hapo Kuna uvunjifu wa sheria ya Electronic and postal communication act(epoca) kwa sababu kitendo cha kutoa taarifa zako ni kosa, hiyo ni unlawful interception of communication, Ili iwe lawful inatakiwa kuwe na kibali cha mkurugenzi wa mashtaka (Dpp)
  • Sheria ya usalama wa taifa na ujasusi i.e Tanzania intelligence and security services act inaruhusu kufanya interception ya Mawasiliano ya mtu Kama mtu huyo ni hatari kwa usalama wa taifa, subject to kibali cha mkurugenzi Mkuu wa usalama wa taifa
  • Sheria ya Kuzuia ugaidi nayo pia imeruhusu kuingilia Mawasiliano ya mtu lakini lazima kuwe na kibali cha mwanasheria mkuu wa serikali
  • Bottom line, Kama Mawasiliano yako yameingiliwa kinyume Cha sheria Hilo ni kosa kubwa sana, kuonyesha maudhui ya Mawasiliano bila kibali ni kosa.
 
Dawa ni kuacha umalaya. Japo alichofanya mkeo ni kosa, lakini imetokana na ishu za umalaya na kutoaminiana.
 
Ukitaka kukomesha hiyo tabia nenda TCRA ukawaeleze. Nakwambia utampata mpaka aliyemprintia hizo docs. Na usikute unachapiwa sasa anaona akuchunge wewe usiwe kama yeye
Kuna vitoto vimesoma IT havina ajira hizo program za spy ndio dili zao.

Hakuna cha Tcra hapo.
 
Kuna uwezekano mkubwa.

Hizi spyware nilimuwekea jamaa kwenye simu ya mtu wake nikaona kuna dalili za kutoana roho ila nikapata upenyo nikaclear makosa yangu

Kwenye PC kuna spyware inaitwa KGB ni noma nayo inafanya kazi hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…