Mabilionea uchwara ndo maana mmechokwa hadi mke anakuomba nauliNiaje wana gwan?
Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabis...
Wakiwa game away humalizana manjonjo yooote ...hata ....hutia ili kumridhisha huyo anaempooza hasira.....kazi sanaaKuna jamaa humu eti alisema hivi
Mwanamke akishalamba dyudyu la nje kutulia hua ni ngum....
Duh yaani leo tu nyuzi za matatizo ya ndoa ni 5 hadi muda huu watu wamechokana maisha yamekuwa na presha sana..Niaje wana gwan?
Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabis...
Naongezeko hili la nauli mpeetyuu aendeeNiaje wana gwan?
Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabis...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbinu gani tena unatafuta? wakati umesema amekwambia ameshakuchoka si umpe nauli aende kwao
Ila pole mwaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNgoja akuwekee simu ufe ndo utapata akili.
Kwani mmezaliwa tumbo Moja? Katika ujinga utakaokufjarimu maisha Yako ndiyo huo,mtu hakutaki bado unakaa nae wa Nini,Kuna jamaa aluombwa talaka na mkewe hivyo hivyo hapa mtaani,akakataa,
Kilichofuata mkewe alienda serikali ya mtaa akapeleka malalamiko mmume wake anamlawiti anataka talaka amechoka kulatiwa kila siku,aibu tupu jamaa ikabidi amuache.
Sasa wewe endelea kulazimisha mapenzi tu
Nanii..nije Pm unisimulie mkasa wako?.. maana nipo obsessed na hizi.Duh yaani leo tu nyuzi za matatizo ya ndoa ni 5 hadi muda huu watu wamechokana maisha yamekuwa na presha sana..
Nilitaka nilete uzi wangu pia ila nimeghairi nitamkabili mtu wangu kimyakimya ila lazima atapike nyongo mshamba sana mwanamke huyu.
Bora niishi single tu.
Kwa hiyo salamu, Mke wako anastahili kuomba nauli Mkuu.Niaje wana gwan?