Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
Latraaa wanatisha we mwambie nauli ikojuu mzigo Huna huku unaturenjoy
Badoo mtasemaa
 
Kwa uzoefu wangu imetoka hiyo,anza kujipanga ila fun fact utaumia sana kujua huko bariadi anatembezewa paipu
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
ukimpiga chini utakosa mke wewe, kuweni wavumilivu vumilianeni tabia zenu. Kumbukeni wakati mnaanzisha mahusiano mlipendana sana ila hamkujua kuwa grafu ya upendo hushuka mahusiano yanapopitia stage fulani. Kama mliooana mkiwa ni wala bata kuna wakati huja bata haliliki mpaka hicho kipindi kipindi kipite. Kama mkeo ni mzinzi piga chini
 
Mwambie aende kwao.

Si ndo hao mnaooa wa kelelewa na wazazi wawili?
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
Mpe talaka na nauli, tena haraka sana.
Ila WANAUME tunakuomba usigeuke jiwe la chumvi akitaka kurudi!
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
Wewe si ulioa matako tukakwambia ukasema Tabia mtavumiliana?
 
Duh yaani leo tu nyuzi za matatizo ya ndoa ni 5 hadi muda huu watu wamechokana maisha yamekuwa na presha sana..

Nilitaka nilete uzi wangu pia ila nimeghairi nitamkabili mtu wangu kimyakimya ila lazima atapike nyongo mshamba sana mwanamke huyu.

Bora niishi single tu.
Hii yako nyuzi ya Sita
 
Hivi mazee nyie mnawaokotaga wapi?

Mbona pisi kali za kueleweka zipo tele?
 
Sasa endelea kumng'ang'ania akupige matukio.

Mwanamke akikuchoka ana uwezo wa kukuvumilia. Ndoa nyingi ikiwemo za wazazi wetu walishachokana ila walistahamiliana.

Ukiona mwanamke anakwambia amekuchoka na kutaka kuondoka kabisa elewa kuwa tayari keshapata mbadala wako.

Sasa jifanye king'ang'anizi ugeuke kuwa mchepuko kwa mkeo mwenyewe.

Kwenye maisha inafikia wakati kuacha mtu aende ndio busara na chaguzi pekee.
Ila kuacha mke unayempenda ni kazi sana.

Mimi Mke wangu na mapungufu yake madogo madogo siwezi kumwacha hata iweje.
 
Back
Top Bottom