Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

Kwahiyo huna nauli ya kumpa mkuu?
KATAA NDOA
NI UTAPELI
TUNZA FURAHA YAKO
 
Ulivyofungua Uzi wako na "Niaje wana gwan" nikajua tu ndoa haiwezi kuwa salama.
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
Usiishie kumpa nauli tu Mpe Hadi taraka tatu
 
Ndoa nyingi hudumu tu pale mwanamke huwa hana chaguzi la pili. Kesha pata plan B huyo, ni oawaida.
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa

Ila sababu unaijua.
 
Back
Top Bottom