Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Nashangaa sana mkuu, angenieleza mapemaKwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
How mkuu? Mana hilo jambo lazima liwe la makubalianoHebu simama kama Baba na kama mwanaume aisee
Simama kama mwanaume, mwambie kama kuna mambo anamaliza natafuta mwanamke anipe mtoto, wewe ukishamaliza mambo yako tutaendelea tulipoishia be A ManNashangaa sana mkuu, angenieleza mapema
Kwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
Jamani,Sasa mambo yake yanahusiana vip na uzazi,Kuna watu wanasoma huku ni wajawazito,aache utoto azae bhanaWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Hayo makubaliano yalitakiwa iwe kabla hamjaingia mkishaingia ni utekelezaji tuHow mkuu? Mana hilo jambo lazima liwe la makubaliano
Analeta siasa kwenye ndoa, ndoa mwanaume ni kiongozi na muamuzi hakuna viongozi wawili au waamuzi wawiliNaona amesahau nafasi yake, akimzoesha democracy huyo atampelekesha
Mwanaume msimamo, kama hataki kuzaa waende mahakamani, ampe ultimatum
Kwahiyo kwa sasa nifanyaje sasa?Hayo makubaliano yalitakiwa iwe kabla hamjaingia mkishaingia ni utekelezaji tu
Pole sana... Mimi nimeoa nna miezi mitatu na nachapa hii msg nikiwa kliniki hapa na mama kijacho InshallahWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Nakubaliana na wewe mkuu, inawezekana kuna sababu inayomfanya aseme huenda aliyakoroga au ukute hazai akaamua kutafuta namna za ku-escape mambo ya kuzaa. Tena inaonekana yeye ndo mwenye power kuzidi mme wake, kwa vyovyote vile anatakiwa amsikilize mme wakeKwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?Mwanamke hayuko peke yake, nenda katafute mtoto kwingine.