Excel VBA
JF-Expert Member
- Oct 27, 2025
- 966
- 2,211
kulingana na hii komenti una shida mahali fulani. Imagine wewe unatakaa mtoto halafu yeye hataki, wewe utafanyaje?Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?
kulingana na hii komenti una shida mahali fulani. Imagine wewe unatakaa mtoto halafu yeye hataki, wewe utafanyaje?Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?
Umesema Ukweli huyo atakua alitoa mimba nyingi sana kwahiyo ameamua kusogeza siku mbele ili asionekane anachelewa kubeba mimba, Vijana tunatakiwa tuoe Mabinti wadogo chini ya umri wa miaka 24.Nakubaliana na wewe mkuu, inawezekana kuna sababu inayomfanya aseme huenda aliyakoroga au ukute hazai akaamua kutafuta namna za ku-escape mambo ya kuzaa. Tena inaonekana yeye ndo mwenye power kuzidi mme wake, kwa vyovyote vile anatakiwa amsikilize mme wake
Kaza kiume, kuwa mwanaume onyesha msimamo wako, kwani kizazi anacho peke yake, mtingishe mwambie kama bado unasubiri mambo yako natafuta mwanamke anipe mtoto halafu mambo yako yakiisha tutaendeleaKwahiyo kwa sasa nifanyaje sasa?
Daah, nimeyatimbaUmesema Ukweli huyo atakua alitoa mimba nyingi sana kwahiyo ameamua kusogeza siku mbele ili asionekane anachelewa kubeba mimba, Vijana tunatakiwa tuoe Mabinti wadogo chini ya umri wa miaka 24.
Asante mkuuKaza kiume, kuwa mwanaume onyesha msimamo wako, kwani kizazi anacho peke yake, mtingishe mwambie kama bado unasubiri mambo yako natafuta mwanamke anipe mtoto halafu mambo yako yakiisha tutaendelea
Nimejikuta nawaza vipi hayo mambo yakichelewa kukamilika yakachukua miaka mitatu au mitano😄😄Ww ndo mume au yeye? Yeye ndo amekuoa? Nan mwenye saut maana najua familia zetu za kiaf4ika mwanaume ndiye mwenye saut kama huwez ukapaza saut kwa mkeo Juan iyo ndoa ww sio kichwa tena
Shikinikzo la wazazi wako vs mkeo katika mipango ya ustawi wa familia yenu kipi bora ?Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Fuatilia vizuri mkuu.Wanajukwaa, hali zenu jamani

Haumtafutii mke wako,unajitafutia wewe unaye taka mtoto. Muda ukifika wa mkeo kutaka mtoto naye atajitafutia... Simpo laiki zati...Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?
Daah huenda kuna mstari mwembamba sana, kati ya udhaifu na kupenda mkuu?Unaonekana ni Mwanaume dhaifu sana,Pia mkeo amekutawala na ndiye mwenye sauti ndani ya Nyumba,
Simama kama Mwanaume na uache kuonyesha unyonge mbele ya mkeo,
Mwambie kua unataka mtoto,kama akileta sababu zozote zile,mrudishe kwao akajitafakari,zikipita wiki mbili hajakupa majibu yanayo eleweka,piga chini kisha vuta chuma kingine kita kacho endana na matakwa yako,
Tatizo lako kuu,Mkeo kakutawala na ndiye mwenye sauti na maamuzi ndani ya Nyumba,ulimlegezea toka mwanzo akausoma udhaifu wako,huko mbeleni atakutesa zaidi kuliko hata hiyo issue ya kutaka mtoto.
Yangu ni hayo tu,
The rest it's up to you.
Ni sahihi kabisa,umemuonyesha kua unampenda sana na haupo tayari kumpoteza,hapa mwanamke lazima akudharau na kukutesa,Mwanamke anapenda dume ambalo lipo tayari kumpoteza muda wowote ule,ukiwa huna option atakutesa sana,tanguliza akili na sio hisia,hii ndio njia pekee ya kuondoka kwenye mateso ambayo nayaona kabisa utayapata huko mbeleni kutoka kwa huyo mkeo.Daah huenda kuna mstari mwembamba sana, kati ya udhaifu na kupenda mkuu?
Upendo usikufanye uwe mjinga, yaani mwanamke umuoe wewe halafu yeye ndio akupangie muda wa kuzaa? Hili halijakaa vema, mbaya zaidi hayo mambo yake anayotaka kumalizia huyajuiDaah huenda kuna mstari mwembamba sana, kati ya udhaifu na kupenda mkuu?
Kwanini aolewe kama anataka kuendelea na hayo mambo yake?Nawiwa kusema mkeo yupo sahihi
Mpe muda wake
Uzazi sio tu kubeba mimba,unaweza kuja na changamoto nyingi,mtu akajikuta bed rest hafanyi chochote,zaidi sana malezi yatahitaji muda wake.kama umemkuta na mambo yake mfano kazi,biashara,miradi lazima atakuwa namna hiyo.
Zaidi sana ana malengo yake kama wewe ulivyo na yako.
Ndio raha ya kuoa akina Miss independent 😊
Aombe talaka ili akafanye hayo mambo yake kwa uhuru zaidi,Aliolewa ili iweje? kwanini alikubali kuolewa?Nawiwa kusema mkeo yupo sahihi
Mpe muda wake
Uzazi sio tu kubeba mimba,unaweza kuja na changamoto nyingi,mtu akajikuta bed rest hafanyi chochote,zaidi sana malezi yatahitaji muda wake.kama umemkuta na mambo yake mfano kazi,biashara,miradi lazima atakuwa namna hiyo.
Zaidi sana ana malengo yake kama wewe ulivyo na yako.
Ndio raha ya kuoa akina Miss independent 😊
Kabla ya kuoana si walipatana tutajuaje?Aombe talaka ili akafanye hayo mambo yake kwa uhuru zaidi,Aliolewa ili iweje? kwanini alikubali kuolewa?