Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Ushauri wangu

Menda kapime wewe uwezo wako wa kutungisha mimba 🤪

Majibu yakiwa mazuri rudi uamue sasa

Sidhani kama kuna mwanamke anakaza kupata mimba kwa mwanaume shababi tena wanapataga tu bila kujua anakuta imo , vipi kaka humpagawishi mpaka akasahau

Kuna dawa ikiwa anatumia uzazi wa mpango unampa tu 🤣 kwenye kimywaji ataanza kutematema mapema tu 🤣

Ila pima kwanza bwasheeeee
 
Back
Top Bottom