Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Jitahidi mkeo awe na hofu ya kukupoteza. Inaonekana hiyo hofu hana kabisa au hajali kuhusu hilo.
Mkuu wanawake wengi ni used part yaani washatumika hatariii halafu anakuja olewa na mwanaume ambae mwenye malengo ya familia. Wakati huyo mwanamke ameingia kwenye ndoa kwa kuachwa na alio wapenda nae kishaanza kuchakaa.

Mfano wa nyanya zikija sokoni muuzaji anauza kwa bei ya juu tena kwa maringo. Akiona zinaanza kusinyaa anauza kwa bei yoyote ile tu ili nyanya zitoke.
 
Hahahaha. Dah, aisee nimecheka.
Mkuu ex wako mke wa mtu kwasasa tena mumewe anaona kapata mwanamke wa maana pia na mkeo/mtarajiwa ni ex wa mtu.

Mwenye kufurahi sana kwenye ndoa ni mwanamke ndio maana wanafanya sherehe kubwa. Ukiona mwanaume anapangiwa sherehe ya ndoa yake iwe na ukubwa/michango huyo mwanaume kilaza sio mume mwenye nyumba.
 
Kuna usahihi kwenye unachokisema.
 
Back
Top Bottom