Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
CD ishachuja hii, nunua nyingine tupate mzuka wa kusikiliza midundo mingine bora zaidi.Kamsemee kwa babaake
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
CD ishachuja hii, nunua nyingine tupate mzuka wa kusikiliza midundo mingine bora zaidi.Kamsemee kwa babaake
Umesema Ukweli huyo atakua alitoa mimba nyingi sana kwahiyo ameamua kusogeza siku mbele ili asionekane anachelewa kubeba mimba, Vijana tunatakiwa tuoe Mabinti wadogo chini ya umri wa miaka 24.
Sawa, ntafanya updatingCD ishachuja hii, nunua nyingine tupate mzuka wa kusikiliza midundo mingine bora zaidi.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
True kabisa mie nasaka mrembo tuoane tuenjoy mie sitaki mtoto kabisa najijua nilivyo watoto watateseka tuu.Kwani mkuu unaishi dunia hii hii au kuna nyingine? Mbona hayo ni mambo ya kawaida saana? Tena hata wanaume sikuhizi baada ya ndoa hawataki watoto kwanza wanataka ku enjoy maisha yao kwanza ndio kisha waplan mambo ya watoto.
Wewe umefunga ndoa paap, honeymoon tu ushamjaza mkeo ujauzito. Mnarudi nyumbani anaanza kutapika , kutema mate na kulala siku nzima. Wewe unageuka mtu wa kumhudumia, mipango yako mingine lazima ilale. Kumbuka hapo ndoa changa hamjapata hata chance ya kujuana vizuri ( kwa kuishi pamoja). Visirani vya mimba vinaanza.
Miezi inaenda mtoto huyu hapa, mtoto halali usiku kucha ni kupeana shifti za kubembeleza mara ameumwa unakesha hospitali na asubuhi unatakiwa uingie kazini na ukirudi usaidie majukumu nyumbani na kukesha mkibembeleza mtoto. Utaiona hiyo ndoa ni adhabu.
Okay, ninachotaka kusema ni kwamba ndoa ni zaidi ya kuwa na watoto. Kuna mtu ukimwambia sipo tayari kupata watoto sasa hivi anakubali vizuri tu ila anataka akuoe muendelee kuishi. Na pia kuna ambao wanaoana kwa makubaliano ya kutokupata watoto kabisa (au nasema uongo mzabzab ? .
Halafu niwaibie siri, huko kujidai kwenu sio waelewa ndio maana mnaoa mnashangaa hampati watoto mnazunguka hospitali zote mnamaliza kumbe ni mkeo tu hataki ila ameona una kichwa ngumu.
Ulizaneni hayo maswali kabla ya kuoana.
Wanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Huyo apaki mabegi kabisa haiwezekani mtu umelipa mahari alafu mtu anakupangia mwanamke akishakubali kuolewa na kuingia ndani kinachofuata ni miti tu ili kumtafuta mtoto maswala ya kusema subiri nimalize mambo yangu kwanza it means anajaribu kukupanda kichwaniNashangaa sana mkuu, angenieleza mapema
Mambo mengine bora mtu ushauriane na ubongo tu maswala ya wazazi sijui ni kupeana presha tuShikinikzo la wazazi wako vs mkeo katika mipango ya ustawi wa familia yenu kipi bora ?
Kama familia imekushika akili vile na mkeo kama amekuzidi akili vile..
Samahani lakini 🥴🥴🥴🥴
Ukweli umeingia panapo thus fact kabisa mkuu hataki piga chini huyo mwanamke maan hamna sababu ya kuolewa kama hataki mtafute mtoto na wasiwasi hata mzigo unapewa kwa magumashi mkuu polee sanaa nachelewa kusema neno gumu kwa sababu siwezi jua na mimi linaweza kunikutaDaah usiseme hivyo mkubwa
Warudishe mpunga tu mambo yakufanya ni mengiNenda kwao urejeshewe mahali yako kyuma imekua rahisi sana
Hakuna muda wa kusubiri la sivyo angesubiri tuAu yasipo kamilika kabisa, itakuajee?
Kwanini asimalizie mambo yake kwanza kabla hajaolewa, ndani ya ndoa hakuna democras Mkuu, kwenye familia msemaji na muamuzi wa mwisho ni Baba pekee, usilete mambo ya majadiliano yasiyo na msingi, yaani mambo yake ni muhimu kuliko wewe?
Mkuu polee sana kwa kipindi unachopitia. Yawezekana kuna technical mistakes ulizifanya. Mwanamke yeyote usimuoneshee madhaifu mapema kiasi hicho saivi ashakusoma. Ebu simama kama mwanaume bhn bado hujachelewa. Inawezekana pia upo vizuri kakosa namna ya kukucontrol kakuanzishia vitimbi kama hivyo. Usikubali akupangie muda wa kuzaa naye otherwise utalea watoto wa wanaume wengine
Ukute analelewa alafu anataka azaliwe😅Kwanza mleta mada hajasema huyo mkewe ni mambo gani anayo malizia? Status zao? Hali ya uchumi kwa kila m1, woiiih.
Hii inafanya kazi endapo wote hamko tayari kupata watoto! Ila endapo mwanaume anataka kupata mtoto ni haki yake kupewa! Sasa kwenye hii situation mwanamke anasema kuna mambo yake anamalizia hivyo haijakaa sawa kabisa!Kwani mkuu unaishi dunia hii hii au kuna nyingine? Mbona hayo ni mambo ya kawaida saana? Tena hata wanaume sikuhizi baada ya ndoa hawataki watoto kwanza wanataka ku enjoy maisha yao kwanza ndio kisha waplan mambo ya watoto.