Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

Wanajukwaa, hali zenu jamani

Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.

Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.

Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Tuanzie hapa kwanza,mnatumia njia gani mpaka sasa kuzuia ili asipate mtoto,au ina maana hata mambo yetu yale ya muhimu hayafanyiki humo ndani...
 
Hebu tufundishe tunafanyaje kuzitengeneza hizo hofu kwa wake zetu?
Hapo ni wewe kujiuliza kama mkitengana yeye atapoteza nini? ukiona hana cha kupoteza then fanya jambo ili kuwe na cha kupoteza.

Mfano: Wakati yeye akikupikia na kukufulia wewe unafanya nini ambacho usipokuwepo ni tatizo kwake? Hapo nyumbani ukisafiri unapigiwa pigiwa simu kuwa bomba la tank linafunguliwaje, switchi ya hita haiwaki sijui mifugo imekataa kuingia ndani?

Kuna wengine bila wewe hana pa kutolea stress zake, ukifika tu wewe ndo shock absorb ya stress zake ataongea weeee, it means usipokuwepo tayari ni tatizo la saikolojia umempa.
 
Kama ingekuwa hivyo basi wanawake wote wangekuwa wanaogopa wanaume zao. Nazani hili jambo ni nature mungu anakupa
 
Mkuu, mwanamke akishakuwa anakutegemea socially na economically lazima aogope kukupoteza. Anaweza kukuzoea akajisahau ila ikishafikia sasa the real danger hii hapa ndo unaondoka for good lazima aogope.
 
Hayo mambo yake anayotaka kumalizia kwanza si amekushirikisha? Ni mambo gani?

Nadhani miongoni mwa vitu ambavyo wachumba kabla hawajaamua kufunga ndoa wanapaswa kujadiliana ni suala la kupata watoto na ni kwa muda gani.

Kuna watu wanaoana bado mmoja wapo anajiendeleza kitaaluma , au mwingine yupo kazini lakini ana target zake na ni wazi ujauzito ukiingia hapo mambo lazima yaende mrama. Kwahiyo ni mambo ambayo mlitakiwa muongee kabla ya ndoa.
Wewe kama unaingia kwenye ndoa Huku una mambo yako si bora ukae pembeni kwanza, hayo mambo yakikamilika ndiyo uingie kwenye ndoa
 
Mkuu, mwanamke akishakuwa anakutegemea socially na economically lazima aogope kukupoteza. Anaweza kukuzoea akajisahau ila ikishafikia sasa the real danger hii hapa ndo unaondoka for good lazima aogope.
Akiwa anakutegemea economically sawa ataogopa. Vipi ikiwa na yeye Yuko stable kiuchumi?. Utatumia njia gani kufanya akuogope?.
Ndy mana nasema hii ni nature na kama sio nature basi ni jambo ambalo unatakiwa utumie akili nyingi wakati wa kutafakari. Au Mimi ndy sielewi kiongozi.
 
Wanajukwaa, hali zenu jamani

Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.

Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.

Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Umekwambia hivyo na wewe unakubaliana naye .

Na wewe ukakubali !
Mwambie wakati yeye ana malizia mambo yake na wee
Wanajukwaa, hali zenu jamani

Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.

Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.

Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Na wewe ukakubali
Mwambie wakati yeye ana malizia mambo yake

Ngoja utafute m'badala wakuzaa naye chap
 
Akiwa anakutegemea economically sawa ataogopa. Vipi ikiwa na yeye Yuko stable kiuchumi?. Utatumia njia gani kufanya akuogope?.
Ndy mana nasema hii ni nature na kama sio nature basi ni jambo ambalo unatakiwa utumie akili nyingi wakati wa kutafakari. Au Mimi ndy sielewi kiongozi.
Mkuu, hujawahi kukutana na mwanamke ni dependant kwa mume kwenye social life katika level ya juu mno? Yaani Mke ni yule mtu ambaye mume asipokuwepo hana social life. Linapokuja suala la social, alipo mume ndo mke anaenjoy social life otherwise she is alone.

Sasa katika hiyo hali lazima mke aogope kukupoteza hata kama ana pesa.

Kuna mazingira unaweza yatengeneza kwa mwanamke wako taratibu akajikuta keshakuwa mtumwa kwako ila anaweza asijue mpaka pale utakapokosekana siku kadhaa ndo anashtuka mbona hili jambo haliendi?

Mfano kuna mzee mmoja wakati tupo vijana wadogo alikuwa na tabia mkewe akitoka kazini lazima ampitie kazini kwake waongozane, huwezi amini sasa hivi ni wazee, ila huwa tunawaona jioni wakiongozana kwenye vishughuli vyao vya uzeeni, yule bibi ni cashier na mzee alishastaafu ila jioni utawaona. Sasa sijui nani anampitia mwenzake ila tabia ishakuwa ngozi.
 
Hayo mambo yake anayotaka kumalizia kwanza si amekushirikisha? Ni mambo gani?

Nadhani miongoni mwa vitu ambavyo wachumba kabla hawajaamua kufunga ndoa wanapaswa kujadiliana ni suala la kupata watoto na ni kwa muda gani.

Kuna watu wanaoana bado mmoja wapo anajiendeleza kitaaluma , au mwingine yupo kazini lakini ana target zake na ni wazi ujauzito ukiingia hapo mambo lazima yaende mrama. Kwahiyo ni mambo ambayo mlitakiwa muongee kabla ya ndoa.

Uko sahihi sanaa.
 
Back
Top Bottom