BwasheeNakutumiana meseji za my kama matahira
Utasikia my umekula😅Bwashee
Hizo mesej za my naona km kichwani hamnazo 🤣
Chakata tu hiyo mbususu mkuu maana kuna wengine hiyo hawaipatiWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Yaani hizo mesej zilipendwa naona aseeh 😅Utasikia my umekula😅
Daha hata minashindwWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Hapo kwenye matahira sasa...mi simo 😁😁Nakutumiana meseji za my kama matahira
My karibu tule 😁Utasikia my umekula😅
Sasa kama siwezi kulala bila yeye nisimwambie 😆😆😂Ety siiwez kulala bila wewe
Asante my wanguMy karibu tule 😁
Mbn inawezkn tuu mzee 😂Sasa kama siwezi kulala bila yeye nisimwambie 😆😆😂
Mbona unakua kolo, ukiwa na mke wa ndoa nje humbito au??Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?
We jamaa uko sawasawa kweli? 🤔 🤔Mke wa ndoa, namtafutiaje mtoto wa nje?
Kwanini?We jamaa uko sawasawa kweli? 🤔 🤔
Wewe ni mwanaume kweli , umeoa ,umeolewa ama mmeoana, mnapeana kampani ile kutoana upweke ama mnapeana financial support, ama umeoa cheo,elimu, utajiri wa kwao, umeoa network ya familia BoraWanajukwaa, hali zenu jamani
Sasa ndugu zangu naomba niwaeleze kuwa Ndoa yetu ina miaka miwili sasa, na tangu tufunge ndoa na Mke wangu nimekuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto. Lakini hivi karibuni nilimwambia mke wangu, Neema, kuwa nahisi umefika wakati wa kuanzisha familia.
Lakini aliniambia kwa sasa hayuko tayari kuzaa kwa sababu bado anamalizia mambo yake kwanza kisha ataamua sasa lini aweze kupata mtoto. Lakini pia hamu yangu ya kuwa baba na shinikizo kutoka kwa wazazi wangu vinanipa mawazo.
Na kwa kweli nashindwa kuelewa.
Msikilize mkeo .Wanajukwaa, hali zenu jamani