Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

wivu na wasiwasi ndo unakusumbua

ni vp kama alisema ‘aisss’ na siyo alex??

au kwa kuwa alex anapita na wake za watu hapo mtaani

wanaume mnaongoza kwa kutokujiamini

Masuala yakujiamini weka huko, unajua ni kiasi gani antena za masikio ya mwanaume hufanya kazi wakati wa tendo?. Kosea hata uongee kimoyomoyo tutajua tu.

Alex kashapiga hat trick hapo, aamua atakavyo yeye na aangalie what's best kwake?. Kusamehe ni rahisi kusahauu sasa
 
Nimeisoma kwenye kitabu kinaitwa A man of the people,Mdada alikua anagegedwa na jamaa,akamtaja nwanaume mwingine,ikaja ikanitokea namimi pia,namgegeda mwanamke,akataja jina la jirani yangu.Hiyo ni sifa ya mwanamke msaliti yeyote.Huwa wanajisahau na hukana kutaja hayo majina ukiwauliza.
 
Jirani alikulaa vizurii ujuee...
 
Fukuza huyo malaya haraka sana kabla hajakuua na magonjwa ya hovyo hovyo
 
Hivi haya maisha rahisi ni Tanzania nzima?
 
sasa unakuja kuuliza majibu humu? ukisikia nyau nyau ujue paka huyo alaaaah , chezeiya alex wewe , ukiona manyoya ujue kaliwa huyo. Jipange na wee unyandue beki tatu hakuna namna mzee
 
Peleka moto tu, acha kusikilizia sana…. unapunguza utraaamuu.[emoji39]
 
Nabii mwamposa yuko humu Jf , Ngoja atoe ushauri
 
Ukute alisema tu Aissexxx(Wananenaga kwa lugha wale )kwa utamu ila sasa sababu unahisi Alex ni mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kutembea na mkeo ukasikia Alex.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani heading tu kabla sijasoma Uzi imenifanya nicheke ,daahh !!!
 
Alex nyoko Sana [emoji16][emoji119][emoji119][emoji16]
 
Huyo Alex alikuwa anamkunja mkeo, peleka Sana moto, nyonya Sana, kampiga mashine mpaka mkeo anafika mlima Kilimanjaro juu ...chezea Alex wewe ..
Oyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]

Utamuua mwenzio kwa pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…