Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Alex Kamgongaaa tena siku za karibuni tuu...!! Yani hakuna namna Mwanamke au mwanaume anaweza mtaja Mtu mwingine wakati mnatiana na Hawajagongana.. HAIPOO...HAIPOO

ALEX KAMT....BA MKEO.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Najaribu ku-imagine hali ya ndugu muandishi huko alipo , dahhhh Mapenzi nyoko , ndoa Zina Mambo hizi
 
Imenikumbusha miaka hiyo wakati Bado nipo shababy,nilikuwa na toto langu la kirangi,sasa siku moja nipo juu napiga show!!,kwa miguvu ya kibabe,mtoto akasikia maumivu akawa ananiaukuma kwamba anasikia kama utumbo unauma,badala ya kutaja jina langu,akatamka kwa sauti ,Kelvin taratiiibu,naumia!!!Nilishikwa na hasira,nikamtia Kofi,mtoto aliomba msamaha,siku hiyo nilimtimua ghetto.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Najaribu ku-imagine hali ya ndugu muandishi huko alipo , dahhhh Mapenzi nyoko , ndoa Zina Mambo hizi
Ashaujue ukweli sema[emoji3][emoji3][emoji3]
 
mkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Mrudishe kwao hapo huna mke Bali una mke wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
The obvious, help, hellos, send help, one solider down!

Wewe hujamfungulia biashara, Ila Yule anayeleta gas apike ndo kamla!

Siku mtu akimwelewa mwanamke atakuwa ameshakufa!
Kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acheni kumtisha mwenzenu bana,inawezakana Alex huwa tu anakuja nyumbani kuleta vitu vya sokoni hivyo mkewe kazoeana naye...
Kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Lishachakatwa jitu[emoji23][emoji23][emoji23]


Alpha one,this is cobra one

Man down,i repeat Man down

Requesting immediate Medevac

Over and out
Over oveeeer oveeer sir over [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
UPDATE

huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .

(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana

nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,

nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,

nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali

wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.

NB,Hajui kama ndo tunaachana

KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.

siwezi kufos hisia.

nina miaka 24, yeye ana 23.

SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
Pole mkuu.
 
Hawa watoto sijui niwafunde vipi,

Wajifunze kusema... yes yes yes au good au sweet hayo mambo ya kutaja majina wapi na wapi.

Msamehe tu mwanangu.

Akirudia ndo unirudishie,
[emoji16][emoji16][emoji16] huyo Kesha nogewa hawezi kumuacha Alex
 
Back
Top Bottom