Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Wanawake ambao wanalea watoto wakienda Clinic huwa wanabembelezwa sana kuwekewa buduma ya uzazi wa mpango hasa njia ya kijiti. Na huambiwa ukitaka kuzaa tena njoo tukutoe, hivyo wanamwake wengine huona sio big issue ya kujadiliana na mwenza wake. Tatizo ndio huanzia hapo. Inawezekana hata yeye aliwaambia hao wauguzi kuwa mume wangu hana taarifa wakamwambia haina shida kwani mnalea mtoto mdogo mkitaka kuzaa tena njoo ukitoe. Na huambiwa njia ya uzazi wa mpango humsaidia hata mwenza wako kwa atafurahia tendo kama zamani bila kumwaga manii nje au kutumia Condom kuogopa ujauzito.
Na kumbuka huduma hiyo ni bure kabisa.
Kwa hiyo ushauri wangu usimfikirie vibaya kaa nae chini mwambie hujapenda alichofanya siku nyingine akushirikishe.
 
Mkuu, ni wivu tu.
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Pole mkuu, huyo definitely alikuwa analiwa tu. Huyo mtoto uliezaa naye ulimpima DNA?
 
Yawezekana mkeo alikuwa na hofu sana ya kupata mimba ingali mwanenu akiwa bd mdogo... Sasa ulipoondoka akajua hapa ukirudi na ugwadu wako wazungu wote watazama ndani na mwisho ajikute kanasa tena

Hivyo akaamua kuweka bila kukushirikisha kwa kuhofia labda utamkatalia na baada ya kuweka akasubiri urudi ili usije pagawa huko ulikokuwa kwa kuhisi anachepuka km unavopagawa sahv.

Ulivyorudi kaamua kukuweka wazi ili usimdhanie vibaya endapo ukija kujua huko mbeleni.

Angekuwa mhuni au malaya asingekwambia na usingejua chochote!

Hivyo mshukuru kwa kujali afya ya mtoto na uachane kabisa na hayo mawazo hasi juu yake.
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Usicomplicate sometimes wanawake wanafanyaga maamuzi bila kuwaza inaweza kutafsfiriwa vp. Wanakuaga na akili ndogo ya kutowaza sometimes japo wanaakili nyingi
 
Pole mkuu, huyo definitely alikuwa analiwa tu. Huyo mtoto uliezaa naye ulimpima DNA?
Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.

Mfano nishawahi kuwa na rafiki wa kike nikiwa chuo kiasi kwamba km muda ukienda sana anaweza kulala geto na tusifanye lolote. Lakini kila mdau alikuwa anajua mi namkula yule mdada wakati haijawahi tokea hata mara moja.

Muonekano wetu (kulala pamoja=lazima mnakulana) kwa marafiki zetu ulikuwa ni tofauti na uhalisia wenyewe.

Inatakiwa kila mtu umchukulie ktk uhalisia wake na sio kuendeshwa na hisia
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Wanamtomba, amini
 
Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.

Mfano nishawahi kuwa na rafiki wa kike nikiwa chuo kiasi kwamba km muda ukienda sana anaweza kulala geto na tusifanye lolote. Lakini kila mdau alikuwa anajua mi namkula yule mdada wakati haijawahi tokea hata mara moja.

Muonekano wetu (kulala pamoja=lazima mnakulana) kwa marafiki zetu ulikuwa ni tofauti na uhalisia wenyewe.

Inatakiwa kila mtu umchukulie ktk uhalisia wake na sio kuendeshwa na hisia
Wewe endelea kulala na kina dada bila kuomba mchezo, I guarantee you usikute washakuona wewe ni wale wale tu (kijanadume wa Dar), hauna jipya na ndiyo maana wanapenda kuja kwako wakijuwa hauna lolote.
 
Sawa ni wivu lakini hata wewe fikiria sehemu anayotoka mwanao mtu mwingine anaruhusiwa kuingia na kujikojolea pamoja na kuchezea nyumba ya mwanao kama mali yake, ni haki kweli? Mimi natoa talaka fasta tu.
Mwanamke malaya talaka ni haki yake. Swali ni mwanamke wako ni malaya? Au ni wewe ndo mwenye mambo ya kufukirika. Jiridhishe, hakuna kazi kubwa kama kupata mwanamke mwaminifu.
 
Back
Top Bottom