BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
MmmmmmKwenye clinic anapompeleka mtoto kupima ile Kila mwezi wanatoaga elimu ya uzazi wa mpango na hivi mtoto Bado mdogo
Nikawaida usianze kutafuta yasiyokuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmmKwenye clinic anapompeleka mtoto kupima ile Kila mwezi wanatoaga elimu ya uzazi wa mpango na hivi mtoto Bado mdogo
Nikawaida usianze kutafuta yasiyokuwepo
Kwenye clinic anapompeleka mtoto kupima ile Kila mwezi wanatoaga elimu ya uzazi wa mpango na hivi mtoto Bado mdogo
Nikawaida usianze kutafuta yasiyokuwepo
Kumbe una jeuri basi subiri moto wenyewe...Ngoma bado mbichiwatoto wa wasimbe utawajua tu hata kwa mwandiko.
Kumbe una jeuri basi subiri moto wenyewe...Ngoma bado mbichi
Mkuu, ni wivu tu.Wanawake ambao wanalea watoto wakienda Clinic huwa wanabembelezwa sana kuwekewa buduma ya uzazi wa mpango hasa njia ya kijiti. Na huambiwa ukitaka kuzaa tena njoo tukutoe, hivyo wanamwake wengine huona sio big issue ya kujadiliana na mwenza wake. Tatizo ndio huanzia hapo. Inawezekana hata yeye aliwaambia hao wauguzi kuwa mume wangu hana taarifa wakamwambia haina shida kwani mnalea mtoto mdogo mkitaka kuzaa tena njoo ukitoe. Na huambiwa njia ya uzazi wa mpango humsaidia hata mwenza wako kwa atafurahia tendo kama zamani bila kumwaga manii nje au kutumia Condom kuogopa ujauzito.
Na kumbuka huduma hiyo ni bure kabisa.
Kwa hiyo ushauri wangu usimfikirie vibaya kaa nae chini mwambie hujapenda alichofanya siku nyingine akushirikishe.
Pole mkuu, huyo definitely alikuwa analiwa tu. Huyo mtoto uliezaa naye ulimpima DNA?Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Sawa ni wivu lakini hata wewe fikiria sehemu anayotoka mwanao mtu mwingine anaruhusiwa kuingia na kujikojolea pamoja na kuchezea nyumba ya mwanao kama mali yake, ni haki kweli? Mimi natoa talaka fasta tu.Mkuu, ni wivu tu.
Sawa, imagine huyo jamaa ana magonjwa ya zinaa anamwachia mkeo mwisho wa siku unakuja kuyavaa wewe hayo magonjwa.anakupenda huyo hataki kukupa mtoto ambae siyo wako 🙌 ina maanisha kuwa ukiwa haupo ujue kuna jamaa anampa utamu
Usicomplicate sometimes wanawake wanafanyaga maamuzi bila kuwaza inaweza kutafsfiriwa vp. Wanakuaga na akili ndogo ya kutowaza sometimes japo wanaakili nyingiRejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.Pole mkuu, huyo definitely alikuwa analiwa tu. Huyo mtoto uliezaa naye ulimpima DNA?
Wanamtomba, aminiRejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Wewe endelea kulala na kina dada bila kuomba mchezo, I guarantee you usikute washakuona wewe ni wale wale tu (kijanadume wa Dar), hauna jipya na ndiyo maana wanapenda kuja kwako wakijuwa hauna lolote.Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.
Mfano nishawahi kuwa na rafiki wa kike nikiwa chuo kiasi kwamba km muda ukienda sana anaweza kulala geto na tusifanye lolote. Lakini kila mdau alikuwa anajua mi namkula yule mdada wakati haijawahi tokea hata mara moja.
Muonekano wetu (kulala pamoja=lazima mnakulana) kwa marafiki zetu ulikuwa ni tofauti na uhalisia wenyewe.
Inatakiwa kila mtu umchukulie ktk uhalisia wake na sio kuendeshwa na hisia
Mwanamke malaya talaka ni haki yake. Swali ni mwanamke wako ni malaya? Au ni wewe ndo mwenye mambo ya kufukirika. Jiridhishe, hakuna kazi kubwa kama kupata mwanamke mwaminifu.Sawa ni wivu lakini hata wewe fikiria sehemu anayotoka mwanao mtu mwingine anaruhusiwa kuingia na kujikojolea pamoja na kuchezea nyumba ya mwanao kama mali yake, ni haki kweli? Mimi natoa talaka fasta tu.